Kujitesa na kaz ngumu sio sifaKuna wajinga kwa sasa hawatumii tena vichwa vyao kufikiri.
Kila kitu wanakizalisha kupitia Ai. Very hopeless beings
SawaKujitesa na kaz ngumu sio sifa
😅😅
Shemeji yako huyo!
Kama mimi hapa uwiii🤣🤣🤣🤦Kuna wajinga kwa sasa hawatumii tena vichwa vyao kufikiri.
Kila kitu wanakizalisha kupitia Ai. Very hopeless beings
kwa nani 😅😅Shemeji yako huyo!
Hahaa kwangukwa nani 😅😅
Muwe na mna justify kazi zenuKama mimi hapa uwiii🤣🤣🤣🤦
wafanye watachofanya sie tutabamba na AI ya mchinaTeknolojia AI kwa sasa inataka kuwazidi waliounda. Kuna sera na sheria zitapitishwa kuzibiti kikomo cha uwezo ili kusaidia makampuni ya software na n.k kufanya biashara.
AI zenye uwezo mkubwa na kusaidia AI ndogo zote zinatoka USA.
Kuna mpango wa kuzibiti AI kuwa na nguvu ndani USA tu sio nje ili msiweze kuwazidi.
Ila wamechelewa sababu source code zake zipo teyari. Kinachowapa watu tabu gharama ya vifaa vyenye uwezo mkubwa.
HAHAHAHAHAH nimecheka sana
Kasheshe! 🤣HAHAHAHAHAH nimecheka sana