Teknolojia ya AI kiboko sasa wifi inaweza kuwaona watu mpaka waliojificha kwenye Kuta
View attachment 3293097
Teknolojia ya Akili bandia (Mnemba) inazidi kushika Kasi na kuwa Tishio Duniani, Baada ya Watafiti kutoka Carnegie Mellon wamefanikiwa kuunda mfumo unaotegemea wifi ambayo unaweza kuona kitu kwenye ukuta bila Kamera.
Teknolojia hiyo inakupa uwezo wa kufuatilia mwenendo na harakati za binadamu bila ulazima wa Uwepo wa Kamera;
π‘ Inafanyaje kazi sasa:
π
Hutumia mawimbi ya wifi (wifi signal) kuweka mzunguko wa Ramani na kufuatilia mwenendo wa binadamu.
π
Inaendeshwa na mitandao ya Neural network hakuna vitambuzi vya ziada vinavyohitajika.
π
Inafanya kazi mpaka kwenye wifi routers za kawaida kwa kuweza kubadilisha vitambuzi kuwa mfu.k wa 3D Motion.
View attachment 3293102
Kwanini teknolojia hii itakua Tishio
β iko private sana kuliko Kamera (hakuna rekodi za kuona)
β Nafuu kuliko mifumo ya kawaida ya ufuatiliaji.
β Uwezo wa kuwa na nyumba mahiri, usalama na afya.
π Ikiwa teknolojia hii ya WiFi inaweza kukufuatilia bila idhini yako, nini kitatokea kwa faragha? Je, teknolojia hii inaweza kutumika vibaya?