Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini leo, Oktoba 31, 2026, akitokea Moscow, Urusi, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika na Urusi, uliofanyika Oktoba 28โ29, 2026.
Soma...