Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
πππ§. π πͺπππ¨ππ¨ ππππ©π¬π’πͺππ¦πππ ππππ’π π π‘π ππ¨π’π‘ππ’ππ πππππ’ πππ πππ π ππ’π
Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Kigoma na kuongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa leo, Jumatatu, Novemba 2, 2026.
Dkt. Mwigulu, ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, ameongoza kikao hicho katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Kigoma.