๐—ฑ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜†

Pierre Derivery (4 November 1925 โ€“ 24 November 2013) was a French sprint canoer who competed from the early 1950s to the early 1960s. Competing in two Summer Olympics, he earned his best finish of tenth in the K-1 10000 m event at Helsinki in 1952.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐—”๐—ง๐—”๐—ž๐—” ๐— ๐—”๐——๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—จ๐—™๐—”๐—œ๐—ฆ๐—›๐—˜ ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ญ๐—”๐—œ๐——๐—œ

    Ni kusukuma mabadiliko kutoka kuuza rasilimali ghafi hadi kuzalisha bidhaa zenye thamani kubwa. โ–  Viwanda vya uchakataji vijengwe nchini โ–  Madini yachenjuliwe na kusafishwa hapa hapa
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata fursa nyingine za ajira 4,500 Nchini Qutar

    ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐—™๐—จ๐—ฅ๐—ฆ๐—” ๐—ก๐—ฌ๐—œ๐—ก๐—š๐—œ๐—ก๐—˜ ๐—ญ๐—” ๐—”๐—๐—œ๐—ฅ๐—” ๐Ÿฐ,๐Ÿฑ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐—ก๐—–๐—›๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ค๐—”๐—ง๐—”๐—ฅ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imepata fursa nyingine za ajira zaidi ya 4,500 kwa ajili ya Watanzania walio tayari kufanya kazi nchini humo kwenye kada mbalimbali. โ€œTunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Tanzania yang'ara Kimataifa Kampeni ya Afya ya Mama na Mtoto

    ๐—ฆ๐—›๐—˜ ๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—˜๐—ฆ: ๐——๐—œ๐—ฃ๐—Ÿ๐—ข๐— ๐—”๐—ฆ๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ก๐—šโ€™๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ž๐—œ๐— ๐—”๐—ง๐—”๐—œ๐—™๐—” ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—” ๐—ž๐—”๐— ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—”๐—™๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐— ๐—” ๐—ก๐—” ๐— ๐—ง๐—ข๐—ง๐—ข Ndani ya Jiji la New York, Marekani, imefanyika Sherehe Maalum ya Kampeni ya SHE RISES - Advocacy for a New Era: Women Leading Maternal and Child Health for All, iliyoandaliwa na Mhe. Balozi Togolani...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Kwa ufupi tu kuhusu...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake wanashiriki kilimo, ufugaji - Waziri Mkuu

    Asema uwekezaji ni lazima ili Afya Moja ifanikiwe katika ngazi ya jamii WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema takribani theluthi mbili ya wanawake walioajiriwa katika nchi zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo, hufanya kazi kwenye mifumo ya chakula na kilimo. โ€œFAO inakadiria...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahimiza nchi za Afrika zongeze mapambano dhidi ya Sotoka

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka nchi za Afrika na washirika wa kimataifa ziweke kipaumbele kwenye ajenda ya kutokomeza ugonjwa wa sotoka kwa mbuzi na kondoo (Peste des Petits Ruminants-PPR) kwa kuimarisha misaada ya kifedha na kiufundi. โ€œMpango wa kutokomeza PPR si uwekezaji katika...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Kihistoria Ukristo ulivyotumika kudumaza Harakati za Ukombozi wa Tanzania

    Mambo muhimu unayotakiwa kujua kabla ya kusoma; ๐Ÿ”ด Vita vya Maji Maji 1905-07, Wakristo walifurahia kushindwa kwa wangoni wa Songea kwa sababu wale walikuwa Waislamu. Ukisoma shairi hili, utaona walikuwa upande gani wakati wa vita. ๐Ÿ”ด Wakristo, wakati vita vya Abushiri 1888โ€“1889 dhidi ya...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awataka wanamipango kuwa chachu ya mageuzi ya kiuchumi na utekelezaji

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wanamipango, wachumi, na watendaji wote wa serikali kuongoza mageuzi ya kiuchumi kupitia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2026/27โ€“2030/31). Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Alhamisi, Septemba...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CRDB na NMB zaingia kwenye orodha ya Forbes ya benki 500 Bora Duniani 2026

    Benki za Tanzania, CRDB Plc na NMB Plc, zimeingia kwenye orodha ya Forbes ya Benki Zinazofanya Vizuri Zaidi Duniani mwaka 2026, zikishika nafasi miongoni mwa benki 500 zilizotathminiwa kutoka nchi 89. Benki hizo zimewekwa kwenye Kundi la 6, linalojumuisha benki zenye mali zenye thamani ya kati...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awasili Arusha, kufungua kongamano la wanamipango

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Arusha leo Jumatano, Septemba 16, 2026, ambapo amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Arusha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, pamoja na viongozi wengine wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Arusha kwa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ, ๐—”๐—น๐—ด๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ

    ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ, ๐—”๐—น๐—ด๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers. Mazungumzo hayo yalihusu...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ก๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฒ

    ๐ŸŽ Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni ๐Ÿ‘Š. Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa eSIM. ๐Ÿคฏ๐Ÿ“ฒ๐Ÿ“ฒ Maana yake? Unaweza kuwa na iPhone yako ya kawaida na nyingine ya ziada, huku...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu awasili Katavi kushiriki jubilei ya miaka 25 ya jimbo katoliki la Mpanda

    DKT. MWIGULU AWASILI KATAVI KUSHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania TikTok imeweka mfumo wa voice call kama WhatsApp

    TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp ๐Ÿ‘‹, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ“ž Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Na hii ni hatua nyingine ya TikTok...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania ๐—–๐—›๐—”๐—ง๐—š๐—ฃ๐—ง ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ณ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ธ๐—ฒ๐—ฟ๐˜€ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

    Hatimaye ChatGPT inaleta feature ambayo inaweza kubadilisha kabisa namna tunavyotengeneza stickers za WhatsApp!๐Ÿคฏ๐Ÿ”ฅ Ebu Fikiria ukiwa ndani ya ChatGPT tu ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ–ผ๏ธ Kuchagua picha au kueleza sticker unayotaka. โœ‚๏ธ AI ikaondoa background na kuandaa picha kama sticker. ๐Ÿ˜‚ Kutengeneza sticker mpya kabisa...
  16. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Government launches emergency Food relief for Karamoja

    The Government of Uganda has rolled out an emergency food relief intervention to support households in the Karamoja sub-region, where a prolonged dry spell has severely disrupted agricultural production and heightened food insecurity. The relief package, comprising 9,419,610 kilogrammes of...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania ๐Ÿ“Bajeti ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ/๐Ÿฎ๐Ÿณ si ya matumizi pekee bali ni ramani ya uchumi wa baadaye

    โœ๏ธKilichoifanya Bajeti ya 2026/27 kuwa ya kipekee si ukubwa wake pekee, bali ni mwelekeo wake wa kimkakati katika kujenga uchumi unaozalisha utajiri, ajira na fursa kwa wananchi. Kwa mara ya kwanza kwa kiwango kikubwa, msingi wa bajeti unaonekana kujengwa juu ya nguzo kuu za uzalishaji ambazo...
  18. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutoka kushindwa Uchaguzi, hadi Siasa za Huruma: Hoja kuhusu Mkakati wa CHADEMA

    Je, unafanya nini ikiwa unaongoza chama cha upinzani ambacho, kwa ukweli kabisa, hakina uwezo wa kushinda uchaguzi kwa sababu hakijawahi kuwasilisha mawazo au sera za maana kwa wapiga kura tangu kilipoingizwa kisiasa kwa ushawishi wa serikali ya kigeni, na sasa kinaelekea kupata tena kushindwa...
Back
Top Bottom