Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
๐ Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni ๐.
Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa eSIM. ๐คฏ๐ฒ๐ฒ
Maana yake? Unaweza kuwa na iPhone yako ya kawaida na nyingine ya ziada, huku ukiendelea kutumia namba ileileโbila usumbufu wa kuhamisha laini kila mara. ๐ฅ
Kumbuka Mfumo huu bado unategemea msaada wa mtandao wako (carrier), hivyo upatikanaji wake unaweza kutofautiana kwa nchi na mtandao.
Unafikiri mitandao ya simu Tanzania itaweza kuruhusu huu Mfumo kufanya kazi tuachie maoni yako au ndo mwanzo wa kufuatilia mawasiliano ya watu ๐ ??