Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
๐๐๐ข๐ ๐๐ง๐ ๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐๐๐ ๐จ๐ญ๐๐ก๐๐จ๐ญ๐ ๐ช๐ ๐๐๐ ๐ฃ๐๐ก๐ ๐ญ๐ ๐ ๐๐ฅ๐จ๐๐๐ข ๐ก๐ฌ๐๐ฅ๐๐ฅ๐ข
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, Oktoba 25, 2026, aliungana na wajumbe wenzake wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Tarime kushiriki uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa marudio katika Kata ya Nyarero, Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Vijijini.
Katika uzinduzi huo, Mhe. Chomete aliwaomba wananchi kumpigia kura kwa kishindo mgombea wa udiwani aliyeteuliwa na CCM, Ndg. John Mohabasi.
Uzinduzi huo ulihudhuriwa pia na Katibu wa CCM Mkoa wa Mara, Ndg. Geofrey Kavenga, Mbunge wa Tarime Vijijini, Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara, pamoja na madiwani kutoka Halmashauri ya Mji wa Tarime na Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Vijijini.

Attachments
-
IMG-20261026-WA0039.jpg519.4 KB · Views: 3 -
IMG-20261026-WA0040.jpg479.3 KB · Views: 4 -
IMG-20261026-WA0041.jpg578.5 KB · Views: 3 -
IMG-20261026-WA0045.jpg462.6 KB · Views: 5 -
IMG-20261026-WA0060.jpg568.2 KB · Views: 4 -
IMG-20261026-WA0066.jpg551.2 KB · Views: 3 -
IMG-20261026-WA0072.jpg751.8 KB · Views: 3 -
IMG-20261026-WA0070.jpg823.2 KB · Views: 4 -
IMG-20261026-WA0069.jpg772.2 KB · Views: 2 -
IMG-20261026-WA0067.jpg617.7 KB · Views: 2 -
IMG-20261026-WA0061.jpg456.9 KB · Views: 3 -
IMG-20261026-WA0063.jpg558.8 KB · Views: 4 -
IMG-20261026-WA0064.jpg500.8 KB · Views: 4 -
IMG-20261026-WA0059.jpg580 KB · Views: 4 -
IMG-20261026-WA0053.jpg701.6 KB · Views: 2 -
IMG-20261026-WA0049.jpg785.3 KB · Views: 2 -
IMG-20261026-WA0038.jpg547.6 KB · Views: 4