๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐——๐—ฅ๐—– ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ

๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐——๐—ฅ๐—– ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
IMG-20261102-WA0042.jpg


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mhe. Judith Suminwa Tuluka amewasili nchini Tanzania tayari kushiriki Mkutano wa Kwanza wa Wanawake Wabunge wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (Womenโ€™s Parliamentary Conference - WPC 2026).

Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Mhe. Tuluka amepokelewa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki

IMG-20261102-WA0040.jpg


Mhe. Tuluka ni Mgeni Maalum katika mkutano huo unaoanza Novemba 2 hadi 5, 2026 katika ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam.

IMG-20261102-WA0039.jpg
IMG-20261102-WA0024.jpg
IMG-20261102-WA0034.jpg
IMG-20261102-WA0023.jpg
 
Back
Top Bottom