Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Dah kwahiyo ni muongo mshikajiNimeipa kazi ya kutengeneza picha ya sura yangu!!
Nilikua naijaribu tu maana hatujawai onana😅😅
View attachment 3259787
heeeUdhi teyali wanawane
ndo nnwashasema ni beta
hiyo ni AIHapo umezugwa ili uamini kwamba hujulikani.
With modern technology in play, privacy is an unrealistic fantasy.
Tulia wwSio uongo inajua ww ni binadamu ndio maana imeleta picha ya binadamu ulitaka wakuchole wewe na Ndonga yako imekupiga picha
sanaaDah kwahiyo ni muongo mshikaji
Mkuu, kwani hapo imesemaje? AI imekujibu kwa vitendo - imekuzuga yaani.hiyo ni AI
ilibidi isema tu hatukujui