AI Yavuka Mipaka: Deepfake yamuonesha Trump na Zelensky Wakipigana, teknolojia inakwenda wapi?

AI Yavuka Mipaka: Deepfake yamuonesha Trump na Zelensky Wakipigana, teknolojia inakwenda wapi?

Wapo Wataalam feki wasioweza kutengeneza video na kuposti KIU MAMA akinywesha wajuba...

Waliopo huwa wanamtengeneza na kumpost Mobetto au Gigi money au Zuchu hapo ndio mwisho wao.
Duh ila napo kuna hatari kubwa kwasababu hata serekali Ina wataalamu wazuri wa haya mambo. Kwahiyo mtu akipost tu hatari ya kuwa arrested ipo
 
Sababu visu vinaweza kutumika kuua watu basi tuache kutumia visu ?!!!!

Kwahio ni ONUS ya mfuatiliaji na mtazamaji kutokuami lolote lile analoliona sababu anything can be faked; thus habari zako badala ya kuzipata kwenye vijiwe angalia sources tofauti even those vichukulie with a pinch of salt...
🚮🚮🚮 Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji
 
Duh ila napo kuna hatari kubwa kwasababu hata serekali Ina wataalamu wazuri wa haya mambo. Kwahiyo mtu akipost tu hatari ya kuwa arrested ipo
Kwa Trump wanapost na hakuna wa kuwafanya kitu, je huko kwa Trump hakunaga 'Wataalam'?
 
Kwa Trump wanapost na hakuna wa kuwafanya kitu, je huko kwa Trump hakunaga 'Wataalam'?
Nchi ukishakuwa na tech expert wengi hasa unemploymed vitu kama hivyo rate inaongezeka, it's like Tanzania watu wengi hatuna ujuzi wa Computer ku control cybercrime ni rahisi na ndio maana tuna rank ila kwa nchi kama Nigeria wataalamu wa computer ni wengi control inakuwa tatizo similar to countries kama Russia, Singapore, India, US
 
Kuna moja niliiona ilikuwa ni "mama" amesimama na doto magari kwenye ukumbi halafu mabomu yanaanza kupigwa wanakimbia
 
Kama ndio hivi....
Basi tutarajie sikumoja tutaona video ya mmoja akiliwa
 
Back
Top Bottom