Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ila waKenya mnabalaa sana 😀 😀 😀 ila kwa upande mwingine ni kweli maana ni pesa za wananchi kwahiyo wanahaki ya kutembea nalo kidogo
================
Mwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa kuiba gari ya Polisi jambo ambalo limezua taharuki na mshangao miongoni mwa watazamaji.
Mwanamume huyo amejitetea kwa ujasiri kutokana na kitendo chake, akiwaacha watazamaji na maafisa wakiwa wamepigwa na butwaa akisema ni mali ya taifa na analipia ushuru.