Wafrika akili tunazo ila wapo wasofahamu namna ya kuzitumia.Hivi tumerogwa!,
Toka game ya deby uwanja ni mchafu hadi leo ni hali mbaya! mbaya! mbaya! We can't manage even such tiny thing? Usafi kweli?
Tukubaliane hii nchi yetu kubadili fikra na utendaji wa watu wetu inabidi uwe kichaa kidogo. Tunatia aibu mno tena kwa mambo ambayo hata tungefungia mbuzi mule mwaka wangejiongoza kiusafi.
Inatia hasira sana! Kila jambo mpaka tusukumwe , tufokeane, tuzalilishane! Waziri apige simu! Bagladesh!
Kama vipi huo uwanja mpeni Bakhresa auendeshe kibiashara kuliko hali hii ya sasa. Ni dhahiri public entity zilishafeli kwenye biashara na hazina muono wa kibiashara.
Aibu! Sana!
Kwa mfano ukizungumzia ajira basi hapo kwenye usafi ni kampuni ya usafi, uwanja basi kuna groundswork team.Mzee wa Lupaso R.I.P alisisitiza sana kuhusu matunzo ya uwanja lakini wapi bongo ni bongo tu bwana hata iweje.
Chief ujenzi wa uwanja wenu wa kumfariji Babra umefikia wapi?Mzee wa Lupaso R.I.P alisisitiza sana kuhusu matunzo ya uwanja lakini wapi bongo ni bongo tu bwana hata iweje.
DπππChief ujenzi wa uwanja wenu wa kumfariji Babra umefikia wapi?
Eti wa kumfariji babra. Watu wanamaneno humuChief ujenzi wa uwanja wenu wa kumfariji Babra umefikia wapi?