Aibu aliyopewa Prof. Jay na CHADEMA ni bora angeachana nayo

Nilishasema siku nyingi CCM hawana vichwa, wamepachika maboga tu juu ya shingo zao[emoji35]
 
CHADEMA walienda kumuona Prof. baada ya katibu mkuu wa CCM kwenda

Kuna tatizo gani hapo....???

Chadema ni madaktari,,, wangeenda kabla ya Katibu wa Sisiemu wangebadilisha nini kwa Prof...

Acheni ramli chonganishi
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Zile risasi mlizompiga Lisu pia mlionyesha mapenzi na utu pia?. Mkazuia hata watu kumuombea. Mbona akutoa pesa Lisu atibiwe? Huu ulioandika wenye akili wanajua ccm Ni wauwaji
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Sasa michango gani unataka eatowe ilhali serikali inasimamia gharama zote za matibabu? Au umefika nyumbsni kwake ukaona familia yake inalia njaa?
 
Chama kina wenyewe jamaa aunge juhudi tu.
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Unajua CCM kila mwezi inachota mabilioni ya kodi zetu! Wewe unawafagilia.
 
Ona hii ng'ombe nyingine ya ngorongoro! Huyo Lowassa alikuwa hapo ICU muhimbili Kwa wiki kadhaa akiupigania uhai wake! Onyesha orodha ya michango ya wanaccm waliomchangia!
Heri hao cdm wameonyesha Nia ya kumchangia mwanachama wao, huko ccm uungwana huo hamnazo kwani mna tabia za fisi kushangilia na kushangilia shida za wenzenu mkiamini ni fursa ya mwingine kukalia cheo na kale kamsemo kenu ka kufa kufaana!
 
Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Makamu mwenyekiti wa ccm Philip Mangula aliwekewa sumu na wanachama wa chama gani?
 
Umeandika haya baada ya kupata kutoka kwa prof au umeamua kuwa mpuuzi??, Una taarifa juu ya nini wamekifanya chadema kwa prof??.

Cdm mpk juzi wamechanga zaid ya 20m kwaajili ya prof. Au unataka cdm nchi nzima waendee mhimbili?.
Kwani CHADEMA hakina fedha za chama kumgharamikia matibabu mpaka wachangishe?
 
Mnataka uhuru wa maoni, hasa pale yanapokuwa upande wenu, nyie katiba mpya haieafai, hii hii inawatosha, mkijaa kwenye 18,mnachapwa za uso
Point,
CHADEMA wanadai wanapigania Uhuru wa maoni, na kujieleza.
lakin Chama Chao kinapohojiwa huwa n watu wasoamni katika kujibu hoja kwa hoja,
Huwezi kuwa mpigania Demokrasia uso amini ktk Demokrasia.
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Mjumbe wa taiga ndio nani?yaani uandishi wako shida nchi hii bado kuna safari ndefu.

Sent from my SM-A037G using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA( Naomba kusahihishwa kama nimekosoa)

Kilichonisukuma Leo kutaka kuifahamu CHADEMA ndani ya suala hili la kuchangiana ndani la CHADEMA ni juu ya mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Prof Jay ambaye yupo mahututi ICU. Je michango inaangalia sura, umuhimu au mtazamo wa mwenyekiti?

Ninapokumbuka mjumbe wa kamati kuu ya CCM alipoanguka ghafla kule lumumba si mwenyekiti wa CCM Taiga wala mjumbe wa shina la wakereketwa wote walienda kumuona. Yalioneshwa mapenzi makubwa na utu.
Uandishi mbovu, maudhui hayaeleweki na kwa uandishi huo itoshe kusema una ELIMU NDOGO SAAANAAAA....... pimbi wahead..!!!!
 
Kwani CHADEMA hakina fedha za chama kumgharamikia matibabu mpaka wachangishe?
Unajua maana ya kuwa na chama hai??, Ni pamoja nakuonesha namna gani jamii wapo na chama.

Lengo ni mgonjwa apate HUDUMA, chama ni cha wanachama.
 
Back
Top Bottom