Aibu aliyopewa Prof. Jay na CHADEMA ni bora angeachana nayo

Acha wivu, mchango ule wa matibabu ndio unakutoa kamasi🤔
 
Umeshindwa kuona aibu ya chama chako unaona ya CDM? wewe mwehu kwelikweli!
Uonevu na ukatili unaofanywa na chama chako dhidi ya upinzani huoni!
 
Ni kweli kwenye janga mchawi ndio anakuwa wa kwanza kufika. Hata Tundu Lissu alivyopigwa risasi Magufuli ndio alikuwa wa kwanza kutoa salamu za pole na kumuombea apone haraka 😀😀😀
 
Hiyo katiba mpya mnaitaka ili mpate uhuru wa kutukana mitandaoni?
Mtu akitukana mtandaoni kuna sheria ya kumwajibisha. Mtu anaweza kutoa maoni usiyoyapenda ukasema ametukana. Acha sheria ndiyo imhukumu usimnyime uhuru wa kutoa maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…