Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Duniani Muogope Sana Mwenyezi Mungu pamoja na Teknolojia.
Hali imekuwa tete kwa CHADEMA,hali imekuwa mbaya,hali imekuwa ya kukatisha tamaa ,hali imekuwa siyo hali,hali inawanyong'onyesha viongozi wa CHADEMA na wanachama wote kwa ujumla wake.
Ambapo sasa baada ya mikutano yao kupuuzwa,baada ya chama kukimbiwa na wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,baada ya chama kuendelea kusambaratika kila uchao,baada ya chama kugawanyika na kupasuka vipande vipande,baada ya tgkila eneo wanachama kuendelea kuhama na kuhamia CCM.
Viongozi wa CHADEMA wamekuja na kituko cha karne,wamebuni mbinu ya kijinga na kipumbavu ,wameonyesha ujinga na uhayawani kwa kuanza kutumia picha za mikutano ya Hayati Edward Lowassa za Mwaka 2015 . Kwa kuanza kusema kuwa eti ni mikutano yao ya sasa.
Ambapo hata hivyo wananchi wenye akili Timamu pamoja na mitandao ya kijamii Makini kama vile jamii forum imebaini ya kuwa chama hicho na viongozi wake wanaupotosha umma na kujidanganya wenyewe ilihali kila mtu anafahamu ya kuwa chama hicho kimepuuzwa na wananchi,kimepoteza Dira na muelekeo pamoja na kukosa ushawishi kwa wananchi. na kwamba picha hizo ni za 2015 wakati wa kampeni za Hayati Edward Lowassa.
Hii ni aibu kubwa sana kwa CHADEMA na viongozi wake waliokosa ajenda na ushawishi kwa wananchi. Kimebaki ni chama kinachoendeshwa kihuni huni na kibabaishaji tu,kimebakia ni mkusanyiko wa wasaka tonge na wachumia tumbo. Kimebakia ni chama kinachoendeshwa na kuongozwa na watu waliojikatia tamaa na kupoteza matumaini.
Kimebakia ni mkusanyiko wa wasaka vyeo na madaraka kwa ajili ya kujaza na kushibisha matumbo yao tu . Ndio maana hawana misimamo wala ajenda wala sera zenye kugusa maisha ya watu zaidi ya kupigania kuongezwa kwa njia ya kupata ubunge na udiwani kwa ajili ya kunenepesha miili yao tu.
Sasa wameishiwa pumzi na kuanza kutumia picha za nyuma kuuhadaa Umma wa watanzania. Hii ni katika kudhihirisha kuwa CHADEMA kuna ombwe kubwa sana la uongozi. Ni hasara kubwa sana kuongozwa na watu wenye upofu wa akili na macho.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.