AIBU: CHADEMA yafirisika yaanza kutumia picha za Mikutano ya Hayati Edward Lowassa za 2015

Ingekuwa unasema kweli wasingekuwa wanatekwa
 
Haya mapimbi sijui yana nini mnatumia nguvu kubwa kuiua chadema badala ya kufanya mabadiliko yanayotakiwa na wananchi.
 
Kaka omba familia ikulete MILEMBE kabla hali haijawa mbaya
 
Mbona kijijini kwetu tumeambiwa CHADEMA imefwariki!?Hao wanaotumia picha za marehemu ni akina nani tena?Basi hakijafa!
 
One thing I always like is when people are in Danial ! That is a great sickness!

#samiamustgo !

No election this year!
 
Aisee
 
Wakiume wewe
 

Attachments

  • 20250514_082156.jpg
    66.4 KB · Views: 23
AIBU KWELI, UKIANGALIA LIVE KWENYE YOU TUBE, NI TOFAUTI KABISA BAADA YA MUDA MFUPI WAHUNI HAO KUPOSTI TANGAZO FACEBOOK 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…