AIBU: Digital Manager wa Yanga adanganya Mayele kuitwa Mfalme wa Dhahabu na Canal Sports

AIBU: Digital Manager wa Yanga adanganya Mayele kuitwa Mfalme wa Dhahabu na Canal Sports

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us!

Ona huyu afisa wa UTO SC anadanganya mchana kweupe hadhar.ani, shame on you Mangi Shayo



UONGO PRIVA 1.JPG
uongo 2.JPG
 
mfalme wa mchongo,bila bahasha za half time atoboi.
wafaransa wa watu wanamanisha maisha marahisi kwake TZ watu wanadai ni mfalme wa dhahabu, kipindi hiko kama sikosei kinzungumzia wachezaji wanaozungumza kifaransa sehemu mbalimbali za africa nilionaga kile cha sakho
 
Makolo utadhani wana kikombe cha kimataifa. Mtaishia kujifariji na takwimu zinazoweza kubadilika wakati wowote.
zinabadilikaje sasa kwamba 28 points zitakuwa 0.5?? matter of fact is simba soon anagonga 30 kufukuzia kuingia top 10 nyie endeleeni na takwimu za namungo na de agosto
 
Mfalme wa dhahabu ndo nini sasa...!?

Gongowazi hawezi kumtangulia Mnyama Mkali [emoji881] kwa nyanja za Kimataifa

Huko kote Simba SC ameshapita na hakukuwa na kelele za mfalme wa dhahabu wala makinikia, mazagazaga yoyote yaani..!
20221012_111719.jpg
20221012_111713.jpg
20221012_111708.jpg
 
Jamaa wa utopoloni kila tawi wanalojaribu kujishikiza linateleza.
 
Mbona aibu hiii jamani so wanaona ni sawa?..unajiita msomi na umepewa nafasi halafu hujisumbui hata kugoogle translation maneno b4 hujaropoka?.daah
 
Back
Top Bottom