njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
wafaransa wa watu wanamanisha maisha marahisi kwake TZ watu wanadai ni mfalme wa dhahabu, kipindi hiko kama sikosei kinzungumzia wachezaji wanaozungumza kifaransa sehemu mbalimbali za africa nilionaga kile cha sakhomfalme wa mchongo,bila bahasha za half time atoboi.
ni eldorado kweli baada ya half time u eldorado unatokeamfalme wa mchongo,bila bahasha za half time atoboi.
Makolo utadhani wana kikombe cha kimataifa. Mtaishia kujifariji na takwimu zinazoweza kubadilika wakati wowote.unasikilizaaaaaaaa 0.5 utopolo fm
View attachment 2384545
zinabadilikaje sasa kwamba 28 points zitakuwa 0.5?? matter of fact is simba soon anagonga 30 kufukuzia kuingia top 10 nyie endeleeni na takwimu za namungo na de agostoMakolo utadhani wana kikombe cha kimataifa. Mtaishia kujifariji na takwimu zinazoweza kubadilika wakati wowote.
caf huko ndo anapatikana eldorado wa uhakika huku kwetu michongo ni mingi.ni eldorado kweli baada ya half time u eldorado unatokea
Utakufa na kijiba cha roho kwenye siasa malalamiko kwenye mpira nako malalamikoMakolo utadhani wana kikombe cha kimataifa. Mtaishia kujifariji na takwimu zinazoweza kubadilika wakati wowote.
ma propaganda ya uongo kila siku kumbe wengine hatutaki kufanywa wajingaJamaa wa utopoloni kila tawi wanalojaribu kujishikiza linateleza.
Una mume?Utakufa na kijiba cha roho kwenye siasa malalamiko kwenye mpira nako malalamiko
Wewe ndio unatafuta mume humu?Una mume?