simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,168
I wish to have a kid like you [emoji4][emoji4][emoji4]Aibu tunapambana nazo daily
ila Long time kipindi niko secondary usichana nmechipukia , nimeshuka kituo cha daladala namkuta mzee wangu amelewa mpaka amezima nilijiskia aibu isiyo kifani kidogo nihame home halafu mzee hakuna asiemjua , mi ndo sistaduu nime match mpaka begi[emoji3].
Ila huwezi amini moyo umekufa ganzi kiasi hata saa hii naongozanaga nae amelewa tiralila niko okay tu i dont give a fnck...Nishamchukulia kama alivyo siuchoshi moyo wangu. maana wanasema mzazi ni mzazi tu!
shame is a state of mind
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app