Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

Aibu gani uliishinda, kiasi sasa unajiona jasiri kupambana na lolote litakalotokea?

watampa[emoji3] mwezi wa11 nilienda nae kwa sherehe kila saa namuangalia akiagiza bia asije kuzingua, kila akienda kucheza namuangalia kama maji yashazidi unga au bado

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Dah yani kama nakuona vile...

Tena ukiwa unamsimamia anaona kama unamuonea flani hvi...

Pole ila nafurahi unavyomchukulia jinsi alivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana mkuu.
Kuhusiana na baba, nafikiri mzee wangu anaongoza kwa matukio ya kututia aibu, Huko jeshini kafanya matukio makubwa ya kitukutu yasiyo na idadi, kila tukiamka tulikua tunajiuliza leo atatutia aibu gani,mkisafiri nae usipomzingatia anaachwa na bus kisa kaenda kununua Kitoko
kuna siku nilikua natoka akaniambia nikusidikize mwanangu nikajifikiria mama akamkataza akamwambia utamdhalilisha mtoto barabarani, nikamwambia twende Kamanda wangu Huwezi amini tulitembea umbali mrefu sana Mzee wangu amelewa tiralira tunatembea kama tumetoka kukesha somewhere lakini nikawa na ujasiri mkubwa na iko hivyo mpaka leo. watu wataniheshimu na kunipenda kwa mambo yangu makuu , nmezaliwa na huyu baba siwezi kubadilisha hilo kama ni doa basi ni doa la milele. I can't wait siku nikiolewa mzee wangu anitie aibu ya mwaka ukumbini[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza vizuri nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo mana sikai nae meza moja mi nakaa mahala ambazo naweza kumuona , naacha kusherekea namchunga yeye, badala yeye anichunge mimi
maisha yetu ni vise versa[emoji1787]
Hahaha Dah yani kama nakuona vile...

Tena ukiwa unamsimamia anaona kama unamuonea flani hvi...

Pole ila nafurahi unavyomchukulia jinsi alivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo mana sikai nae meza moja mi nakaa mahala ambazo naweza kumuona , naacha kusherekea namchunga yeye, badala yeye anichunge mimi
maisha yetu ni vise versa[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada Yeye akuchunge na Mafisi [emoji1787][emoji1787]

Wewe ni mwanamke Shupavu sana yan hlo suala la kuchukulia aibu zake kama zako ni jambo la kupongezwa sana[emoji123][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Duh!kwenye harusi unaagiza kamati ya Vinywaji isimpe bia hata moja

Sent using Jamii Forums mobile app

Asipopewa bia/kilevi kamwe hatofurahia harusi ya bint yake maana atakuwa kama mgonjwa, amenyong'onyae muda wote.

Ikiwezekana atajitokea zake ukumbini kwenda mtaani kutafuta kitoko huku akiwaachia sherehe yenu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana
Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie

Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa

Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watampa[emoji3] mwezi wa11 nilienda nae kwa sherehe kila saa namuangalia akiagiza bia asije kuzingua, kila akienda kucheza namuangalia kama maji yashazidi unga au bado

Sent using Jamii Forums mobile app

Yuko kama Mzee wetu,
Tunaenda naye ukumbini ama kwenye dhifa yoyote kavaa zake vizuri sana yaani suti kali, tai na viatu vya bei ila sasa akitupia zake gambe anatoka humo akiwa hana koti, tai wala viatu tena ni yule wa kubeba mzobe mzobe mpaka nyumbani, pombe imemfanya mdomoni awe na upungufu wa zaidi ya meno 9 .....
 
Baada Yeye akuchunge na Mafisi [emoji1787][emoji1787]

Wewe ni mwanamke Shupavu sana yan hlo suala la kuchukulia aibu zake kama zako ni jambo la kupongezwa sana[emoji123][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi ni vile tu tumepigwa matukio ya kutosha since day 1 mpaka mioyo imeota sugu na tumejifunza kitu kupitia hayo. Kama ni vidole tushanyooshewa sana, kilichobaki ni kuwaonyesha ujasiri, raha ya mtu anaekukosoa ni kuona unasononeka, sasa husononeki unabeba msalaba wetu bila kusita wala aibu. Mwisho wa siku inakua sio habari tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilisha wahi kukamatwa na barua namtumia demu school ule msala wake uiitikisa shule siku tatu, demu niliyekuwa namtumia barua alikuwa mtoto wa kishua, basi shuleni alikuwa akiaangaliwa kwa ukaribu kwakuwa ni mtoto wa kishua, siku hiyo ikapigwa kengele ya dhadhura wanafunzi wote shule nzima wakajikusanya pared kutangaziwa hili tukio, kwenye heka heka za kukusanya wanafunzi nikafanikiwa kutoroka, ile ishu ilikuwa in aibu kinoma, shule yenyewe nilihama hadi mkoa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]pole
Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie

Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa

Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko kama Mzee wetu,
Tunaenda naye ukumbini Ana kwenye dhifa kuvaa vizuri suti, tai, na viatu ila sasa ajili ya gamble kidogo tu anatoka humo akiwa hana koti, tai wala viatu tena ni yule wa mzobe mzobe.....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nilijua tuko peke etu
afu ukimwambia mzee umelewa unauwasha moto mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom