Aibu: Gazeti la mwanaspoti ladanganya mchana kweupe

Aibu: Gazeti la mwanaspoti ladanganya mchana kweupe

basi utopolo ni kwa nini wamchukue kama kocha na siyo technical director? unataka kusema yeye ndiye aliyewapa hao wacongo kombe la africa na siyo Omog? katika maisha yangu sijawahi kusikia technical director akipewa cv ya kuchukua kombe bali huwa ni makocha..
Huyo jamaa unayetaka kumwelewesha ndio wale Eymael aliwaambia uneducated,wanabweka kama mbwa na ni manyani siku zote anapingana na ukweli.
 
wewe unaona ana cv huyo? kufikisha teams robo fainali mara mbili ndiyo mnajivunia na kuiba cv ya joseph omog kuipachika kwake ndo cv,alifukuzishwa kazi na simba huyo ndiyo maana pale jangwani siku hiyo alikuwa anaitajataja simba tu hadi anakumbushwa kwamba kaja kufanya kazi utopolo..Gomez kafika nusu mara mbili ismailia na younde cotton isiyo hata na hela za kueleweka
Naona Mbumbumbu umejikakamua kuonesha uwezo wako wakuchambua mambo ahahahaaah!
 
Habari ndugu zangu natafuta kazi ya kupiga picha ,Uchambuzi wa mpira mawasiliano yangu 0714954609
 
1619308445868.png
 
Kama mnafanya hivi baada ya kupewa bahasha za khaki nitawasamehe kidogo mana mnajua asilimia kubwa ya wadanganyika ni vilaza basi poa tu ila kama mwandishi na mhariri wa mwanaspoti ni vilaza wa kiwango hiki basi GOD HAVE MERCY ON YOU
JAMANI AFC LEOPARDS YA CONGO BRAZAVILLE ILIPOCHUKUA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA KOCHA ALIKUWA JOSEPH OMOG RAIA WA CAMEROON ALIYEWAHI KUFUNDISHA AZAM NA SIMBA HUYU MWARABU WA YANGA ALIKUWA TECHNICAL DIRECTOR..GET YOUR FACTS RIGHT IDIOTS,IMBECILES WAANDISHI VILAZA MAKANJANJA




WABABE AFRIKA

Hapa Gomes amezidiwa kete kwani mwenzake Nabi amewahi kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika akiwa na AC Leopards ya Congo mwaka 2012.

Lakini hajaishia hapo tu kwani amewahi kuiongoza Al Hilal kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2015 na amewahi kuiongoza DC Motema Pembe kuingia hatua hiyo katika Kombe la Shirikisho Afrika mwaka 2011.

Kwa upande wa Gomes, mafanikio makubwa kwake katika mashindano ya klabu Afrika yalikuwa ni kuiongoza Coton Sports ya Cameroon kufika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika mwaka 2014.

Pia msimu wa 2019/2020 aliifikisha Ismaily ya Misri katika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Uarabuni na msimu huu kaiongoza Simba kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Nawapeni pole sana wale Wote msiojua kuwa Mhariri wa Gazeti hili, Mwandishi na karibia 75% ya Waandishi na Watangazaji wa Michezo nchini Tanzania wapo katika Payroll ya Yanga SC hasa hasa kupitia kwa Injinia Hersi wa GSM.
 
Back
Top Bottom