Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Hii hapa Pakuase flyover.

images.jpeg


Na hili hapa daraja la Kijazi

images (1).jpeg


Nadhani wote tunaweza kuelewa tatizo letu lilipo.
 
Siku za karibuni nilisoma kwenye gazeti moja kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeingia ubia na Taasisi moja ya Serikali ya Finland katika ukusanyaji kodi. Nikauliza kwa nini wasiingie ubia na utumiaji wa hizo hela baada ya kukusanywa pia? Tatizo la nvhi yetu sio kipato bali ni utuamiaji wa hicho kipato!
 
Mbona kama hy flyover ya Ghana imejengwa kijijini mana hata hakuna magari yanayotosha hizo barabara sasa huo si upigaji kuzidi hiyo ya Ubungo.!
 
Back
Top Bottom