Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

Tatizo ni huna akili mzee.
Soma vizuri uchumi ndio utaelewa hasa kwanini kwetu hela ni nyingi inatumika kufanya jambo dogo ilihali kwa wenzetu hela kidogo inafanya makubwa.

Dola 1 hapa bongo ni sawa na cedi 8 za kighana.
Kwetu dolla 1 ni almost sh. 233O

Tawaza mavi yaliojaa kichwani humo
Acha upumbavu wako, uchumi gani unaoujua wewe kenge..

Waliokopesha hawakufanya hayo ma exchange yenu bali walitoa pesa in terms of dola,sio kutetea upuuzi na wizi Shenzi wewe.
 
VP thamani Yetu ya fedha inalingana na wao kwa maana ya uendeshaji project?
Pesa si iko kwenye dola mkuu. Unataka thaman gan tena.. vtu vimenunulia wa dola hvo.. unataka ilingane na nn tena
 
Kwaio Billion 177 ni sawa na usd 100m...hi exchange rate ya wapi mmetumia?
Wakati pesa inatolewa exchange rate ilikuwa kiasi gani?

Hakuna pa kujificha kwa wizi na Upigaji mliofanya..

Hakuna mradi hata mmja ambao Sukuma gang mumefanya bila ku inflate Bei na ndio maana mlibadili design hapo Ubungo.
 
Sikiliza ww kichwa maji, Kwahy thamani ya dola kwa Ghana ni sawa na kwa Tz.?
Toa upumbavu wako na umbumbu hapa..

Pesa zilitolewa in terms of solar ,hakuna kichaka cha kujifichia kwa wizi mliofanya..

Unaweza eleza kwa nini mlibadili design ya mwanzo? Punguani wakubwa kenge nyie mlitakiwa mfe kama yule taahira wenu.
 
Tatizo ni huna akili mzee.
Soma vizuri uchumi ndio utaelewa hasa kwanini kwetu hela ni nyingi inatumika kufanya jambo dogo ilihali kwa wenzetu hela kidogo inafanya makubwa.

Dola 1 hapa bongo ni sawa na cedi 8 za kighana.
Kwetu dolla 1 ni almost sh. 233O

Tawaza mavi yaliojaa kichwani humo
You totally wrong , pata muda wa kuperuzi na kuuliza wajuvi mkuu
 
Usitukane mkuu , thamani ya USD ni moja nchi zote , ni sawa na si unit, ndo maana Wb wanatoa in term of Usd,
Ingekuwa tulipewa Tsh na wengine ksh , zingetofoutiana
Unashindwa kuelewa hiyo fala anauliza kitu gani hasa..

Pesa zimetolewa kwa Ghana dola mil.94 na Tanzania sh.Bil.252.66 ambazo ni sawa na dola za Marekani mil.100 sasa Sijui wanatafuta pa kutokea..

Mara ya kwanza kulikuwa na design nzuri ambayo iliendana na thamani ya pesa,wakabadili design na kujenga kituko harafu pesa ikaachwa ile ile wakaipiga..
 
Value for Money ndo cha msingi. Mfuko wa cement Tz ni Dola ngapi compaired to Ghana. Nondo au chuma ni dolla ngapi? Gharama za kuishi DSM kwa wahusika wote wa mradi ni Dola ngapi compared to Ghana. Petrol, Diesel na Malighafi nyingine zilizotumika kwenye Mradi. Ziweke katika Dolla then compaire na huduma kama hizo ukiwa ghana. Utapata thamami halisi ya mradi.

Hata wangeingia mkataba siku moja Gharama haziwezi kuwa sawa kwa sababu za Kijiograpfia na kiuchumi.
 
Nani alipata pesa nyingi? Ghana huko inflation ni kubwa mara 4 ya Tanzania..

Unatetea wizi na uzembe? Hatukuwa na Rais ndio maana yote haya yalitokea.
 
Changanua kwa kina gharama za ujenzi anzia mfumuko wa bei kwao na kwetu, contractors na gharama za contracts alafu tutajua nani hasa ndie aliyefikisha uozo hapo ulipo
Aongee pia muda Kwa maana ni kipindi kipi Kwa Ghana na Kwa Tanzania?
 
Usitukane mkuu , thamani ya USD ni moja nchi zote , ni sawa na si unit, ndo maana Wb wanatoa in term of Usd,
Ingekuwa tulipewa Tsh na wengine ksh , zingetofoutiana
Sikiliza ww zumbukuku, mnaweza kupewa wote dola kiasi fulani labla $ 100m lakini mkija kuziweka kwenye pesa zenu ni lazima zitofautiane.
 
Unashindwa kuelewa hiyo fala anauliza kitu gani hasa..

Pesa zimetolewa kwa Ghana dola mil.94 na Tanzania sh.Bil.252.66 ambazo ni sawa na dola za Marekani mil.100 sasa Sijui wanatafuta pa kutokea..

Mara ya kwanza kulikuwa na design nzuri ambayo iliendana na thamani ya pesa,wakabadili design na kujenga kituko harafu pesa ikaachwa ile ile wakaipiga..
Ww nawe unaongea kama vile umetiwa bao mdomoni
 
Hiyo Bil 252.622= us$108.3 Millions.
Bongo tabu sanaView attachment 2358553
Screenshot_20220916-120542.jpg
 
Back
Top Bottom