Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

Siku za karibuni nilisoma kwenye gazeti moja kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeingia ubia na Taasisi moja ya Serikali ya Finland katika ukusanyaji kodi. Nikauliza kwa nini wasiingie ubia na utumiaji wa hizo hela baada ya kukusanywa pia? Tatizo la nvhi yetu sio kipato bali ni utuamiaji wa hicho kipato!
 
Kila mbuzi atakula kwa urefu wa Kamba yake.🤣🤣
 
Mbona kama hy flyover ya Ghana imejengwa kijijini mana hata hakuna magari yanayotosha hizo barabara sasa huo si upigaji kuzidi hiyo ya Ubungo.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…