The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Acha upumbavu wako, uchumi gani unaoujua wewe kenge..Tatizo ni huna akili mzee.
Soma vizuri uchumi ndio utaelewa hasa kwanini kwetu hela ni nyingi inatumika kufanya jambo dogo ilihali kwa wenzetu hela kidogo inafanya makubwa.
Dola 1 hapa bongo ni sawa na cedi 8 za kighana.
Kwetu dolla 1 ni almost sh. 233O
Tawaza mavi yaliojaa kichwani humo
Pesa si iko kwenye dola mkuu. Unataka thaman gan tena.. vtu vimenunulia wa dola hvo.. unataka ilingane na nn tenaVP thamani Yetu ya fedha inalingana na wao kwa maana ya uendeshaji project?
Wakati pesa inatolewa exchange rate ilikuwa kiasi gani?Kwaio Billion 177 ni sawa na usd 100m...hi exchange rate ya wapi mmetumia?
Toa upumbavu wako na umbumbu hapa..Sikiliza ww kichwa maji, Kwahy thamani ya dola kwa Ghana ni sawa na kwa Tz.?
Usitukane mkuu , thamani ya USD ni moja nchi zote , ni sawa na si unit, ndo maana Wb wanatoa in term of Usd,Sikiliza ww kichwa maji, Kwahy thamani ya dola kwa Ghana ni sawa na kwa Tz.?
You totally wrong , pata muda wa kuperuzi na kuuliza wajuvi mkuuTatizo ni huna akili mzee.
Soma vizuri uchumi ndio utaelewa hasa kwanini kwetu hela ni nyingi inatumika kufanya jambo dogo ilihali kwa wenzetu hela kidogo inafanya makubwa.
Dola 1 hapa bongo ni sawa na cedi 8 za kighana.
Kwetu dolla 1 ni almost sh. 233O
Tawaza mavi yaliojaa kichwani humo
Unashindwa kuelewa hiyo fala anauliza kitu gani hasa..Usitukane mkuu , thamani ya USD ni moja nchi zote , ni sawa na si unit, ndo maana Wb wanatoa in term of Usd,
Ingekuwa tulipewa Tsh na wengine ksh , zingetofoutiana
Value for Money ndo cha msingi. Mfuko wa cement Tz ni Dola ngapi compaired to Ghana. Nondo au chuma ni dolla ngapi? Gharama za kuishi DSM kwa wahusika wote wa mradi ni Dola ngapi compared to Ghana. Petrol, Diesel na Malighafi nyingine zilizotumika kwenye Mradi. Ziweke katika Dolla then compaire na huduma kama hizo ukiwa ghana. Utapata thamami halisi ya mradi.Unashindwa kuelewa hiyo fala anauliza kitu gani hasa..
Pesa zimetolewa kwa Ghana dola mil.94 na Tanzania sh.Bil.252.66 ambazo ni sawa na dola za Marekani mil.100 sasa Sijui wanatafuta pa kutokea..
Mara ya kwanza kulikuwa na design nzuri ambayo iliendana na thamani ya pesa,wakabadili design na kujenga kituko harafu pesa ikaachwa ile ile wakaipiga..
Nani alipata pesa nyingi? Ghana huko inflation ni kubwa mara 4 ya Tanzania..Value for Money ndo cha msingi. Mfuko wa cement Tz ni Dola ngapi compaired to Ghana. Nondo au chuma ni dolla ngapi? Gharama za kuishi DSM kwa wahusika wote wa mradi ni Dola ngapi compared to Ghana. Petrol, Diesel na Malighafi nyingine zilizotumika kwenye Mradi. Ziweke katika Dolla then compaire na huduma kama hizo ukiwa ghana. Utapata thamami halisi ya mradi.
Hata wangeingia mkataba siku moja Gharama haziwezi kuwa sawa kwa sababu za Kijiograpfia na kiuchumi.
Ndio akili yao ilipogomea hapo kwenye udini,Yani serikali ya kiislam inaingia mkataba na serikali ya kilutheri hapa naomba yule mzee anaetetea dini ya mnyazi jukwaa la historia aje !
Aongee pia muda Kwa maana ni kipindi kipi Kwa Ghana na Kwa Tanzania?Changanua kwa kina gharama za ujenzi anzia mfumuko wa bei kwao na kwetu, contractors na gharama za contracts alafu tutajua nani hasa ndie aliyefikisha uozo hapo ulipo
Sikiliza ww zumbukuku, mnaweza kupewa wote dola kiasi fulani labla $ 100m lakini mkija kuziweka kwenye pesa zenu ni lazima zitofautiane.Usitukane mkuu , thamani ya USD ni moja nchi zote , ni sawa na si unit, ndo maana Wb wanatoa in term of Usd,
Ingekuwa tulipewa Tsh na wengine ksh , zingetofoutiana
Ww nawe unaongea kama vile umetiwa bao mdomoniUnashindwa kuelewa hiyo fala anauliza kitu gani hasa..
Pesa zimetolewa kwa Ghana dola mil.94 na Tanzania sh.Bil.252.66 ambazo ni sawa na dola za Marekani mil.100 sasa Sijui wanatafuta pa kutokea..
Mara ya kwanza kulikuwa na design nzuri ambayo iliendana na thamani ya pesa,wakabadili design na kujenga kituko harafu pesa ikaachwa ile ile wakaipiga..
Jamaaa alikuwa mwizi sanaNa zote zilijengwa kipindi kimoja. Pokuase ilijengwa 2018-2021
WIZI ni Jadi ya watanzaniaHii hapa Pakuase flyover.
View attachment 2306161
Na hili hapa daraja la Kijazi
View attachment 2306162
Nadhani wote tunaweza kuelewa tatizo letu lilipo.
Hongera Sana Mheshimiwa Dr Ruto, W. S. (PhD) C-in-C.Tatizo letu upigaji mwingi, --- hapa kazi tu.