Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu kuagiza majeneza kutoka nje; ni tofauti na fanichaMkuu majeneza si hata maseremala mtaani wanaunda..
Same applies to furniture zipo za ndani na za nje chaguo ni lako pesa ni yako
Mkuu Dunia hii soko iko huru Kwa kila mtu kuagiza kitu anatakaNi aibu kuagiza majeneza kutoka nje; ni tofauti na fanicha
Hao wanatengeneza njia za upigaji hii nchi imejaa upigaji kila pahalaInasikitisha miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza MAJENEZA China na Afrika Kusini?
Inasikitisha miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza MAJENEZA China na Afrika Kusini?
fact, after all no one is getting out of this life alive.Man...for the peace of your mind ....dont take life too seriously...!!
Subiri hata kidogo ili ujipe muda wa kutafakari basi kabla hujajibu kwa kasi ya mwewe! Hivi wewe huoni ni jambo very odd hili kutumia fedha za kigeni ku-import vitu kama hivi?Mkuu majeneza si hata maseremala mtaani wanaunda..
Same applies to furniture zipo za ndani na za nje chaguo ni lako pesa ni yako
Jambo la msingi tujikite kwenye ubora unajua viwanda vingi vilianzishwa kwa njia ya kutoa hongo na vinajiendesha kwa njia ya kutoa hongo saa ngapi watatoa bidhaa nzuri huwezi kumlazimisha mfanyabiashara anunue bidhaa yako ambayo haina uboraInasikitisha miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza MAJENEZA China na Afrika Kusini?
Unashangaa hilo?Inasikitisha miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza MAJENEZA China na Afrika Kusini?
Yapo yanatoka ChinaMbona nchini yanatengenezwa ya kutosha?