Aibu: Hadi majeneza tunaagiza kutoka nje!

Aibu: Hadi majeneza tunaagiza kutoka nje!

tuwaulize waislam, kwani kuna faida gani kumlaza mtu kwenye jeneza alafu mkalifukia?
 
Wapo wachache wataagiza nje ili kuonekana tofauti nasi, ni biashara huwezi kukataza watu kununua wakitakacho. Mbona Chupi tunaagiza/zinatoka nje.
 
Unashangazwa na kuagiza majeneza toka nje!! Mbona hata vile vijiti vya kutolea nyama kwenye meno, tunaagiza toka China!!
Kishahili fasaha vijiti vile vinaitwa VIMBAKA!
 
Back
Top Bottom