Vitendo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 582
- 103
The Bank of Tanzania’s Governors and Board of Directors
Kama kumbukumbu zngu ziko sahihi Ndugu Grey S.Mgonja tayari alistaafu Ukatibu wa Hazina na ana kesi mahakamani kwa kushutumiwa kuiingiza serikali kwenye hasara ya Mabilioni ya shilings,sasa inakuwaje ukifungua tofuti ya BOT ukute yeye bado ni mmoja wa "Members of The Board of Directors"Nafasi/cheo cha ukatibu wa Hazina ndo kinamfanya mtu aingie kwenye hiyo board,sasa inkuwaje sura,jina na picha yake iendelee kuwepo pale na yeye hana sifa za kuwepo hapo anapoonekana!!!!
Nasema AIBU hii iwakute kuanzia Gavana hadi Mkuu wa kitengo cha teknolojia na habari na mawasiliano wa BOT haiwezekani kufanya mambo ya Ajabu kama haya...hivi watanzania ni lini tutakuwa mbele kujali mambo ambayo yanaigusa nchi yetu..ebu tuamke katika utendaji wa kazi zetu...
sasa wakati umefika watanzania tuamke!!!!!