Aibu hii kwa BOT

Aibu hii kwa BOT

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
582
Reaction score
103
The Bank of Tanzania’s Governors and Board of Directors

Kama kumbukumbu zngu ziko sahihi Ndugu Grey S.Mgonja tayari alistaafu Ukatibu wa Hazina na ana kesi mahakamani kwa kushutumiwa kuiingiza serikali kwenye hasara ya Mabilioni ya shilings,sasa inakuwaje ukifungua tofuti ya BOT ukute yeye bado ni mmoja wa "Members of The Board of Directors"Nafasi/cheo cha ukatibu wa Hazina ndo kinamfanya mtu aingie kwenye hiyo board,sasa inkuwaje sura,jina na picha yake iendelee kuwepo pale na yeye hana sifa za kuwepo hapo anapoonekana!!!!

Nasema AIBU hii iwakute kuanzia Gavana hadi Mkuu wa kitengo cha teknolojia na habari na mawasiliano wa BOT haiwezekani kufanya mambo ya Ajabu kama haya...hivi watanzania ni lini tutakuwa mbele kujali mambo ambayo yanaigusa nchi yetu..ebu tuamke katika utendaji wa kazi zetu...

sasa wakati umefika watanzania tuamke!!!!!
 
Kaka, uwajibikaji serikalini ni almost 0%! Usishangae kuona tovuti ya BOT haijawa updated!
 
Kijana bado hajawa proved guilt of committing that offense,umesahau ya Mramba bado ni mbunge mpaka court iprove kuwa yuko guilt
 
Mawebsite mengi ya serikali yako hivyo hiyvyo..
Nenda kwenye website ya bunge letu, utakuta wabunge marehemu wa 2007 bado ndo wanawakilisha!..lol!
 
http://www.bot-tz.org/AboutBOT/BoardOfDirectors.asp
Kama kumbukumbu zngu ziko sahihi Ndugu Grey S.Mgonja tayari alistaafu Ukatibu wa Hazina na ana kesi mahakamani kwa kushutumiwa kuiingiza serikali kwenye hasara ya Mabilioni ya shilings,sasa inakuwaje ukifungua tofuti ya BOT ukute yeye bado ni mmoja wa "Members of The Board of Directors"Nafasi/cheo cha ukatibu wa Hazina ndo kinamfanya mtu aingie kwenye hiyo board,sasa inkuwaje sura,jina na picha yake iendelee kuwepo pale na yeye hana sifa za kuwepo hapo anapoonekana!!!!
Nasema AIBU hii iwakute kuanzia Gavana hadi Mkuu wa kitengo cha teknolojia na habari na mawasiliano wa BOT haiwezekani kufanya mambo ya Ajabu kama haya...hivi watanzania ni lini tutakuwa mbele kujali mambo ambayo yanaigusa nchi yetu..ebu tuamke katika utendaji wa kazi zetu...
sasa wakati umefika watanzania tuamke!!!!!

'Fungu' la kufanya marekebisho 'halijatoka' bado🙄!
 
Bado hawajapata fungu la kufanya marekebisho ya taarifa kwenye website ya BoT kwa mwaka wa fedha 2009/10!!!!!!!.

Website ya taifa, angalau wanajitahidi!
 
Kijana bado hajawa proved guilt of committing that offense,umesahau ya Mramba bado ni mbunge mpaka court iprove kuwa yuko guilt
Yes hajawa proved guilt ila si katibu wa Hazina hivyo hatakiwi kuwepo pale kwa sasa anayetakiwa ni katibu wa sasa wa Hazina!!!
 
uvivu-na kuwa nyuma ya maendeleo hadi lini?????????? shame on you!!!!!!!!!!
 
ni kweli ujumbe wake unatokana na nafasi aliyokuwa nayo. na sasa ameshastaafu, lakini ujumbe wake utakoma pale muhula wake utakapomalizika ndani ya bodi, kwa mfano kama ujumbe ndani ya bodi unadumu kwa miaka mitano, na yeye alistaafu 2007, na ujumbe wake ndani ya bodi ulipitiwa 2006, pamoja na kustaafu kazi yake ya msingi 2007, yeye atatumikia bodi mpaka 2011, yaani mwisho wa miaka yake mitano.aidha kama angekuwa amepoteza ukatibu wake kwa sababu za kinidhamu basi hapo angekoma kuwa mjumbe maramoja.
tunajua anakesi mahakamani , ikumbukwe yeye ni mtuhumiwa, na si mhalifu. hivyo huyu ndugu ataendelea kuwa mjumbe wa bodi. unachoweza kuzugumzia ni sheria zinazoambatana na namna wajumbe wanapatikana na wajumbe wanavyoweza poteza sifa, na siyo teknolojia ya mawasiliano ya benki kuu
 
Unachoweza kuzugumzia ni sheria zinazoambatana na namna wajumbe wanapatikana na wajumbe wanavyoweza poteza sifa, na siyo teknolojia ya mawasiliano ya benki kuu
Hapo kwenye sheria na taratibu, ndipo panatakiwa kupatia tiba mjarabu. Tukianzia na sheria mama yaani katiba inayohubiri ujamaa ili hali ujambazi kwa kasi ndo unatekelezwa.
 
By virtue of the BoT Act, the Permanent Secretary of the Treasury is a Member of the Board. When Mgonja was replaced as PST, he ceased to be a Member. If his name still appears in BoT's tovuti, it is a lapse on the part of those responsible for updating it.

When I read "Aibu hii kwa BoT" I thought it was a more serious thing. Choose headings of your contributions more carefully.
 
waupdate na signature za kwenye fedha hizi. ndo maana hazikai mkononi maana zina sign za mafisadi.
 
Tanzania tambarale.....angalia website za taasisi nyingi za serikali utakuta hazijawa updated for a decade
 
JF mmesaidia ku-update website ya BOT, wamefanya hivyo jana, siku tatu baada ya Vitendo kufanya kitendo cha kufichua uzembe huo humu ndani.
Tuendelee kuamshana huenda nasi tutaanza kuelekea kule kuitwako "maendeleo"
 
Mawebsite mengi ya serikali yako hivyo hiyvyo..
Nenda kwenye website ya bunge letu, utakuta wabunge marehemu wa 2007 bado ndo wanawakilisha!..lol!
Nenda kwenye wensite ya Tume ya Uchaguzi, habari iliyowekwa kuwa ni motomoto inahusu uchaguzi mdogo wa jimbo la Tunduru! Tanzania zaidi uijuavyo
 
http://www.bot-tz.org/AboutBOT/BoardOfDirectors.asp
Kama kumbukumbu zngu ziko sahihi Ndugu Grey S.Mgonja tayari alistaafu Ukatibu wa Hazina na ana kesi mahakamani kwa kushutumiwa kuiingiza serikali kwenye hasara ya Mabilioni ya shilings,sasa inakuwaje ukifungua tofuti ya BOT ukute yeye bado ni mmoja wa "Members of The Board of Directors"Nafasi/cheo cha ukatibu wa Hazina ndo kinamfanya mtu aingie kwenye hiyo board,sasa inkuwaje sura,jina na picha yake iendelee kuwepo pale na yeye hana sifa za kuwepo hapo anapoonekana!!!!
Nasema AIBU hii iwakute kuanzia Gavana hadi Mkuu wa kitengo cha teknolojia na habari na mawasiliano wa BOT haiwezekani kufanya mambo ya Ajabu kama haya...hivi watanzania ni lini tutakuwa mbele kujali mambo ambayo yanaigusa nchi yetu..ebu tuamke katika utendaji wa kazi zetu...
sasa wakati umefika watanzania tuamke!!!!!

Naona jamaa ujumbe wako umewafikia. Wame-update website yao tarehe 27 Nov. 2009. Sehemu iliyokuwa ya Mgonja haina picha wala jina ina maandishi tu kwa chini yanayosomeka "Permanent Secretary to the Treasury (URT"
 
Nashukuru hata mimi nimeiona hiyo tayari,waungwana tubadilike katika utendaji wetu....

Tuko pamoja tutafika!!!
 
ni kweli ujumbe wake unatokana na nafasi aliyokuwa nayo. na sasa ameshastaafu, lakini ujumbe wake utakoma pale muhula wake utakapomalizika ndani ya bodi, kwa mfano kama ujumbe ndani ya bodi unadumu kwa miaka mitano, na yeye alistaafu 2007, na ujumbe wake ndani ya bodi ulipitiwa 2006, pamoja na kustaafu kazi yake ya msingi 2007, yeye atatumikia bodi mpaka 2011, yaani mwisho wa miaka yake mitano.aidha kama angekuwa amepoteza ukatibu wake kwa sababu za kinidhamu basi hapo angekoma kuwa mjumbe maramoja.
tunajua anakesi mahakamani , ikumbukwe yeye ni mtuhumiwa, na si mhalifu. hivyo huyu ndugu ataendelea kuwa mjumbe wa bodi. unachoweza kuzugumzia ni sheria zinazoambatana na namna wajumbe wanapatikana na wajumbe wanavyoweza poteza sifa, na siyo teknolojia ya mawasiliano ya benki kuu

"he Board consists of ten persons, four of whom are executive directors and two are ex-officio. In addition, there are four non-executive Directors appointed by the Minister of Finance. The Governor and Deputy Governors are appointed by the President. The current composition of the Board of Directors is as follows:

Governor (the Chairman)

three Deputy Governors, Deputy Chairmen in the order determined by the Governor;

the Permanent Secretary to the Treasury of the Government of the United[/B] Republic and Principal Secretary to the Treasury of the Revolutionary Government of Zanzibar; and

four non-executive Directors.

Hiyo sheria inabidi ibadilike ili iwe kama walivyoandika hapo.
 
Back
Top Bottom