The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Mkuu inabidi mtu ujitahidi ku-resist temptation otherwise akikutana na mwanaume mkware hamuachi kabisaukienda interview umepiga vazi la kazi bila kuweka mtego wowote, nani atapata nafasi ya kukuomba? Unaingia kwenye interview umevaa mini-skirt, maziwa nje,...what image are you creating?
Another question...kwa nini mademu wanavaa vimini? kuna demu alinijibu ni ili kujifurahisha mwenyewe! nilitaka kucheka kwa nguvu sana!
Hebu kina baba waache kuvishabikia waanze kushabikia mabaibui uone kama kuna atakayevaa....... Ni kama swala la kuwakemea makahaba wakati wateja wanazidi kujipanga tu sokoni kaka yangu.ukienda interview umepiga vazi la kazi bila kuweka mtego wowote, nani atapata nafasi ya kukuomba? Unaingia kwenye interview umevaa mini-skirt, maziwa nje,...what image are you creating?
Another question...kwa nini mademu wanavaa vimini? kuna demu alinijibu ni ili kujifurahisha mwenyewe! nilitaka kucheka kwa nguvu sana!
Ahaaa ahaaaa lol Simba akizidiwa anakula majani basi ndio atakuwa huyo mwanaume kwenye blue hapoAcha kutusingizia
Kuna wanaume wengine hawana
heshima hata uvae gunia...
Ni kweli kabisa maana kuna mwingine akiona macho yako au kwa vile anapenda wanawake weupe basi atatumia oportunity hiyo kukutakaHebu kina baba waache kuvishabikia waanze kushabikia mabaibui uone kama kuna atakayevaa....... Ni kama swala la kuwakemea makahaba wakati wateja wanazidi kujipanga tu sokoni kaka yangu.
Ningependa tu ufahamu kuwa unyanyasaji wa aina hii hauangalii ulivaa nguo ya aina gani siku ya interview wala ofcn. So si wote wanaotakwa wanajirahisi
Ahaaa ahaaaa lol Simba akizidiwa anakula majani basi ndio atakuwa huyo mwanaume kwenye blue hapo
hizi ngono wanazotoa wanawake ni za kujitakia....mtu anaenda interview kajiremba na kavaa kimini au jeans imebanaaaa......yaani hata kama mtu alikuwa hafikirii anaanza kufikiria.
pia wanawake hawajiheshimu wenyewe......kwani ni lazima upate hiyo kazi? kama we unaona kupata kazi ni vizuri zaidi ya utu wako basi hilo ni tatizo.
hapa solution ni kuhakikisha unareport kila mara unapoombwa ngono kwa ajili ya kupata kazi......kwa sababu wanaoomba ngono ni tabia yao, hata asipokupata wewe atamwomba mwingine.....we toa taarifa PCCB ashughulikiwe......najua MAFISADI hawawezi kuwapata, lakini nadhani vijamaa vya ngono watavikamata tu.
Kweli kabisa Chapakazi maana huwa tunajifanya wenyewe.
</p><b>Hivi wanaume nao huwa wana haki zao?Na kama zipo mbona huwa hazijadiliwi?</b>
Mi nimewahi kupeleka CV mahali, huyo Boss kaniambia sawa tutakupigia. Sijavaa kimtego wala nini, wala sina kitu cha kumshtua mtu kivilee mi wakawaida kabisaaa!!!
Ilikuwa siku ya Alhamisi, jumamosi yake asubuhi akanipigia akaniambia mm ni yule Boss wa sehemu fulani, hebu tukutane Rose garden kuna jamaa watakuwa pale saa kumi tuongee ongee kuhusu ile CV yako. Nikasikia moyo unanienda mbio, nikafikiria CV Rose garden kweli? Basi nikajilazimisha tu nikaenda nimevaa kama natoka kanisani yani. Kufika nikamkuta kakaa peke yake ananisubiri.
Akaanza kazi utapata usiwe na wasiwasi kabisa, mabinti mnao onekana waaminifu kama ninyi hamwezi kukosa kazi kabisa. Hapo macho yote yananikodolea kama nini, mara kaanza ngonjera zake ooh mi nilikupenda sana binti una adabu khe.........kilichoniokoa hapo nilimwandikia ndugu yangu mmoja msg kaja kunifata nikamkimbia kwa kumwambia tunaenda kwenye msiba. Nikajuta kudiscus CV baaaaa........dah mpaka leo hajawahi niitia hiyo kazi.....sijui alichoma moto nakala zangu.....
pole sana....
Asante mwaya.......ndio mapito tunayopitia halafu yanatengeneza historia ya maisha tulio nayo. Dah!!!
sasa wapo ambao waliajiriwa kwa fair..
kazi ipo kwenye kupandishwa vyeo,au kupata safari nje n.k
wengi wana choose to lift up their skirts......