AIBU KUU:KITENGO CHA GRAPHICS KILISAHAU KUBADILI FONTS "MATOKEO YA 12-0"

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ni muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o notice vitu vidooogo kama vile FONTS zilizotumika...kwenye picha ya okrah weupe haujatolewa vizuri

Ila mechi ilikuwa ngumu sana kwa simba sakho alicheza kama unavyoona kwenye picha ingawa alikuwa Rabat na kawasili kambini leo ila alicheza

ZINGATIA FONTS (TAARIFA KWA UMMA.....FULL TIME.....12-0.......)*******

rabbi.JPG
fonts 2.jpg
 
Ulichoandika hakieleweki ndugu.
kweli ? una kichwa kigumu sana , ngoja nikusaidie angalia taarifa ya yanga kupinga kufungiwa sope albino..neno TAARIFA KWA UMMA fonts zake zilivyokaa halafu angalia graphics za simba kufungwa 12-0 ..angalia neno FULL TIME na neno 12-0 FONTS ZAKE..kwa kifupi zimetengenezwa na mtu mmoja alisahau ku siwtch fonts, umeelewa sasa?
 
Ni muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o notice vitu vidooogo kama vile FONTS zilizotumika...kwenye picha ya okrah weupe haujatolewa vizuri

Ila mechi ilikuwa ngumu sana kwa simba sakho alicheza kama unavyoona kwenye picha ingawa alikuwa Rabat na kawasili kambini leo ila alicheza

ZINGATIA FONTS (TAARIFA KWA UMMA.....FULL TIME.....12-0.......)*******

View attachment 2301475View attachment 2301476
Wazee wa Ctrl+C Ctrl+V[emoji23][emoji23] so nasikia wao ndy wana watalaamu wa graphics imekuwaje sasa
 
Huwa inatokea, na pressure ya mashabiki wao kupata propaganda ilikuwa kubwa sana ikabidi kitengo kiingie kazini ili kuleat furaha pale viunga vya jangwani na kule ushuani salamander
 
Back
Top Bottom