njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
kweli ? una kichwa kigumu sana , ngoja nikusaidie angalia taarifa ya yanga kupinga kufungiwa sope albino..neno TAARIFA KWA UMMA fonts zake zilivyokaa halafu angalia graphics za simba kufungwa 12-0 ..angalia neno FULL TIME na neno 12-0 FONTS ZAKE..kwa kifupi zimetengenezwa na mtu mmoja alisahau ku siwtch fonts, umeelewa sasa?Ulichoandika hakieleweki ndugu.
Wazee wa Ctrl+C Ctrl+V[emoji23][emoji23] so nasikia wao ndy wana watalaamu wa graphics imekuwaje sasaNi muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o notice vitu vidooogo kama vile FONTS zilizotumika...kwenye picha ya okrah weupe haujatolewa vizuri
Ila mechi ilikuwa ngumu sana kwa simba sakho alicheza kama unavyoona kwenye picha ingawa alikuwa Rabat na kawasili kambini leo ila alicheza
ZINGATIA FONTS (TAARIFA KWA UMMA.....FULL TIME.....12-0.......)*******
View attachment 2301475View attachment 2301476
Huwa inatokea, na pressure ya mashabiki wao kupata propaganda ilikuwa kubwa sana ikabidi kitengo kiingie kazini ili kuleat furaha pale viunga vya jangwani na kule ushuani salamanderWazee wa Ctrl+C Ctrl+V[emoji23][emoji23] so nasikia wao ndy wana watalaamu wa graphics imekuwaje sasa
lakini wameleta furaha kubwa sana kwa wana jangwani leo,ila tu propaganda ijayo wabadili fonts sasaAcha wahangaike tu