Aibu kuu kwa nchi yangu Tanzania huko Saudi Arabia: Bondia apigwa kipigo cha mbwa koko

Angalia A.J asije akafanya tutume machela mbili
 
UNAHISI KWA UTANGULIZI HUU NN KINAFWATA KWA JOSHUA
 
Hatari sana 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Mambo mengne kwa watu wengine unakubali tuu point za mezanii. Mimi ukinipapasa tu nikasikia upepo namkimbilia refa atangaze ushindi.
Ya nn kufaaa?

Umenikumbusha kale ka clip ka Charlie Chaplin ka ulingoni.

Hahaaa nachekaga sanaaaa, ngumi moja tu wenge nusu saa.
 


Subiri kesho majukwaani utasikia mabeberu
 
Mbona Anthony Joshua alipigwa na jamaa lenye kitambi, tumbo kubwa huku yeye akiwa na six pack yake, mrefu, mwili umegawanyika. Alitudhalilisha sana watu warefu. Leo naona wameamua kumzawadia ushindi.

Huyo mtanzania nasikia kapigwa ngumi moja ametapika dagaa ulingoni. Tumpe pole. Atakua anatokea pwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…