Haina uhusiano mkuu. Hawa mabondia sio fani yao, Mwakinyo kama ajifue zaidi. Mjue kuwa kutiliwa shaka ni faida kwa Mwakinyo kuliko kulewa sifa. Joshua pia alikuwa hivyo pambano la kwanza dhidi ya Ruiz ndipo akapigwa. Kifupi Mwakinyo awe tayari kukubali challenge na kujifunza kujibu kwa vitendo.Na hii ndiyo watanzania wajue Hassan Mwakinyo kuweza kuhimili raundi kumi na kuibuka mshindi siyo swala jepesi, tusipende kubeza jitihada za watanzania wenzetu!
Bondia wa Tanzania alipigwa ngumi nzito ambayo ilimfanya apoteze fahamu na kuletewa mitungi ya hewa ya oxygen. [emoji23][emoji23]Bondia wa Tanzania aitwa Seleman Said, amepewa kipigo cha paka mwizi raundi ya kwanza kwa knock out kutoka kwa bondia wa Marekani.
Shindalo ili ni shindano la utangulizi kabla la shindano kati ya la Joshua na Ruiz ambalo linafanyika leo hii. Bondia wa Tanzania alipigwa ngumi nzito ambayo ilimfanya apoteze fahamu na kuletewa mitungi ya hewa ya oxygen.
Baada ya kupata nguvu na kusimama refa aliamua kumaliza mchezo huo na kumpa ushindi bondia kutoka marekani. Mchezo unaofatia ni wa Joshua na Ruiz. Pia katika mshindano haya ya leo kuna bondia wa Tanzania mwingine kwa jina anaitwa Mohamed Swedi nae alipigwa kwa knock out bila msaada wa refa tungesikia mengine.
[emoji23] [emoji23]Mtu akikuotea punch moja ya kidevu network inakata kwa muda
[emoji23] [emoji23]
Akirudi sisi watu wa Keko Dar es salaam tuna kikao nae. Kumfundisha ngumi zinachezwaje?Mwambie arud tu nyumban kumenoga
Hayo majina waliyoyapeleka sijawahi kuyasikia, ni promota gani kawapeleka?
Na mta pigwa tu...Kile ndio kipigo cha mbwa mwizi kwa ilani ya CCM
Kama alitapika dagaa basi atakuwa wa kanda ya ziwa... Maana kama angekuwa muha basi asinge kubali kirahisi...Mbona Anthony Joshua alipigwa na jamaa lenye kitambi, tumbo kubwa huku yeye akiwa na six pack yake, mrefu, mwili umegawanyika. Alitudhalilisha sana watu warefu. Leo naona wameamua kumzawadia ushindi.
Huyo mtanzania nasikia kapigwa ngumi moja ametapika dagaa ulingoni. Tumpe pole. Atakua anatokea pwani.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mambo mengne kwa watu wengine unakubali tuu point za mezanii. Mimi ukinipapasa tu nikasikia upepo namkimbilia refa atangaze ushindi.
Ya nn kufaaa?
Umenikumbusha kale ka clip ka Charlie Chaplin ka ulingoni.
Hahaaa nachekaga sanaaaa, ngumi moja tu wenge nusu saa.
Ha ha ha!Ngumi aliyopigwa huyo jamaa inaitwa "Baby Tuma Na Ya Kutolea."
Hujawahi kumsikia Selemani Saidi?Hayo majina waliyoyapeleka sijawahi kuyasikia, ni promota gani kawapeleka?