Aibu kuu kwa nchi yangu Tanzania huko Saudi Arabia: Bondia apigwa kipigo cha mbwa koko

Nimesikia wale ni mashamba boy wa nyumba za waarabu huko Saudi Arabia.

Asubuhi walikula urojo, maziwa ya ngamia na tende wakati wenzao walikula heavy meal kabla ya kuingia ulingoni.
 
Katika dhulma tumefanyiwa Tanzania ni hao mabondia yaani hata kuweka gurd tu hawajui, hata kama ni njaa tumezidi kuiendekeza, wote waliohusika wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi pumbavu kabisa hawa.
 
Watu kama akina scorpion wanawapa matizi ya kutosha ya boxing kisha wanawapeleka huko angalau wanaweza fanya kitu,kuliko kuyajaza jela yanakula bure,
 
Yule sijui wamemuokota Buza kwa mparange!!? yaani jitu halina record ya maana mnalipeleka kwenye ubingwa wa dunia pambano la utangulizi na yule mmexico undefeated kweli!! eti Bondia anaitwa Selemani Saidi ! eboh! mngepokea sanduku airport! Shubamiti!! yaani round ya kwanza dk 1.35 mtu chaliii, na walahi angenyanyuka tu angekufa.
 
Hiyo ni kawaida kwenye mchezo wa ndondi
Atajipanga vzr kwenye mchezo mwingine
Any way kile kikombe alichopewa si mchezo

Ova
 
Kuna mwenye link ya mapambano ya awali?
 
Ni kama riadha, mashindano wanaenda msafara wa ma delagates ..na sio wakimbiaji, delagates ni zaidi ya 50, mkimbiaji ni mmoja ..kwahio sishangai boxing kupeleka vitu vya ajabu ajabu
Ni hujuma tu unapelekaje mabondia km hao
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316] Daaaaah
 
Wote waliopelekwa huko no watoto was Mudy..
 
[emoji23][emoji23] wangepokea nini mkuu? ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunashukuru awamu ya tano kwa kuwahisha mitungi ya oxygen pale ukumbini, la sivyo seleman na minywele yake kifuani kama cactus angeaga dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…