Aibu kuu kwa nchi yangu Tanzania huko Saudi Arabia: Bondia apigwa kipigo cha mbwa koko

Nadhani yule fala ni amateur anataka kuingia kwenye professional boxing. Professional boxer hawezi kupigwa kizembe namna ile.
Hiyo ni kawaida kwenye mchezo wa ndondi
Atajipanga vzr kwenye mchezo mwingine
Any way kile kikombe alichopewa si mchezo

Ova
 
Kweli hii ni aibu kabisa. Lakini kwa nini ukwenda huko kuwatetea? Au kwa nini ukwenda wewe kupambana?

NB:
Kwenye pambano lolote kuna mambo matatu,
1: Kushinda
2: Kushindwa na
3: Kutoa droo

kwa hiyo hapo wameangukia tu kati ya hayo matatu
 
Huyu Suleiman ni mzanzibar namjua
 
Kweli hii ni aibu kabisa. Lakini kwa nini ukwenda huko kuwatetea? Au kwa nini ukwenda wewe kupambana?

NB:
Kwenye pambano lolote kuna mambo matatu,
1: Kushinda
2: Kushindwa na
3: Kutoa droo

kwa hiyo hapo wameangukia tu kati ya hayo matatu
Hatuongelei kupoteza pambano, tunaongelea aina ya upinzani walioonyesha. Walikuwa kama sio maboxer kabisa, elewa context
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…