Aibu kuu: Mamlaka husika imuwajibishe Faiza kwa kuvunja maadili

Aibu kuu: Mamlaka husika imuwajibishe Faiza kwa kuvunja maadili

Bange na unga ndio chanzo cha yote hayo afuatiliwe kwa ukaribu hadi 'akaozee' kule aliko elizabeti maiko!
 
We msichana/mdada mbona unajilazimisha unoko wakati unoko wenyewe haukupendezi?! Utafikiri mwalimu wa enzi za Nyerere....
 
Mambo ya sexual intercourse tulianza kula kitabu standard six ili basi...tuonapo mambo hayo kokote tusishtuke.....sasa unaposhangaa pichu ya KE mwenzio Leo hiii my mind formulates many questions....
 
Ni Aibu kuu tumedhalilishwa sana watanzania pamoja na wanawake wengine wooote kwa alichokifanya Dada Faiza, kupitia page ya Mange Kimambi Instagram, kutoa na kuonyesha hadharani Chupi yake iliyochanika na kuongea mambo yana ndani sana ya mwanamke sambamba na kuzitaja sehemu za siri, Serikali na mamlaka husika tunaomba mzingatie hili kwakweli iwe fundisho kwa watu wengine ni aibuu kuu.....

Naomba wajuzi muweke link hapa ili watu wajioneee mm sina ujuzi wa kuweka link ya Instagram...

Ni video mbaya kwa maadili yetu.
Source:
Page ya Mange Kimambi Instagram


Swali ni kwamba ulifwata nini huko?
 
Faiza bwana ebu muacheni na life style yake ndio yupo hivyo
 
Sio sawa hata tukijifanya tumezoea,hii inashusha sana thamani ya mwanamke kwa ujumla,very bad behavior kataa au ukubali maana alitaja na kusema kinane kilionekana kupitia tobo la pichu hii haipo sawa
vp ile ya kujifungua? Nyie mnasumbuka na mgonjwa wa akiri!
 
chupi tu au kuna kingine?
Hizo clip anaeleze jinsi mapenzi yalivyomuumiza kiasi kwamba hakuona umhim wa kuvaa chupi nzuri,alijiona ni mwanamke asiye na thamani kisa kuachwa na ampendae[emoji2]

Hapo ndo nilipoamini sugu kiboko,sijui alimpaga n huyu dada manaake hamsahau
 
Chupi aoneshe yake, kudhalilika udhalilike wewe, makubwa!!!!!!
 
Mwambieni Shonza amwite ofisini kwake aende na gigy money
 
Nyie mnaoyaongelea na kuyaona ya ajabu sana ndo mnawapa kick hawa watu....kwa nn mtu akipost hayo mapicha mkanyamaza kimya muone kama atakua na hamu ya kuyaposti...Ulishawahi kuwa unaangalia TV au movie na watoto ghafla ikatokea scene ambayo ni ya kiutu uzima zaidi..hua unafanyaje....unajikausha tu na watoto nao wanajikausha...au unajifanya bizy fulan etc...sababu unaweza ukafanya kitu ndo kikawavutia attention zaidi
 
Back
Top Bottom