Aibu kuu: Mamlaka husika imuwajibishe Faiza kwa kuvunja maadili

Aibu kuu: Mamlaka husika imuwajibishe Faiza kwa kuvunja maadili

Ni Aibu kuu tumedhalilishwa sana watanzania pamoja na wanawake wengine wooote kwa alichokifanya Dada Faiza, kupitia page ya Mange Kimambi Instagram, kutoa na kuonyesha hadharani Chupi yake iliyochanika na kuongea mambo yana ndani sana ya mwanamke sambamba na kuzitaja sehemu za siri, Serikali na mamlaka husika tunaomba mzingatie hili kwakweli iwe fundisho kwa watu wengine ni aibuu kuu.....

Naomba wajuzi muweke link hapa ili watu wajioneee mm sina ujuzi wa kuweka link ya Instagram...

Ni video mbaya kwa maadili yetu.
Source:
Page ya Mange Kimambi Instagram

Hajazalilisha mtu, unaongea na kutapika hivi wakati wewe nawe wawezekani ni worse kuliko yeye! kwa ukweli mimi nimemuheshimu sana na kumpandisha chati zaidi ya kingine hakuna.
 
Kwani mtu kuonesha chupi unayovaa Ni kujidhalilisha ?
 
Waswahili tuna tabu sana. Wewe maisha ya Faiza yanakuhusu nini? of all things...hicho ndo unaweza kukifikiria???

Fikiria ni namna gani unaweza kuongeza tija kwenye maisha yako. Hayo ya Faiza mwachie Faiza. Hayakuhusu!
hahahahaha perfect answer.
 
Kwa hiyo umetoka huko kwa Mange Kimambi kakujaza ujinga ukaja speed huku. Mwambie mange aache kuchukua post za watu wengine na kuzifanya kuwa ajenda yake. Dada wa watu Faiza kaipost kwenye page yake, kaongelea maisha yake halafu huyo Mange anaona kapata cha kuandika anaiba post ya dada wa watu. Wewe mleta mada na Mange wako mjifunze kuacha ukwapuaji, na mpunguze ujinga wa kuingilia personal life za watu.


Povuuuuu utakuwa Lemutuz imekuuma Mange kuanika kibamia chako jana
 
Hizo clip anaeleze jinsi mapenzi yalivyomuumiza kiasi kwamba hakuona umhim wa kuvaa chupi nzuri,alijiona ni mwanamke asiye na thamani kisa kuachwa na ampendae[emoji2]

Hapo ndo nilipoamini sugu kiboko,sijui alimpaga n huyu dada manaake hamsahau
Hahahhaha inaonekana muheshiwa sugu ni mtibwa sukari kwa faiza aisehh si mchezooooo hahahhaha!
 
7547f0874c6e69ac1b1dafad2fdeb7a3.jpg
12a5ac4735c8dcaa31f1c4925fac313e.jpg


Akili zetu tunazielewa wenyewe
 
Kuna Mbunge mmoja mwanamama aliwahi kumtetea huyu bungeni hata sikumbuki alikuwa chama gani vile!!
 
Back
Top Bottom