Aibu kwa Meneja wa msanii aliye juu kwa sasa Tanzania

Aibu kwa Meneja wa msanii aliye juu kwa sasa Tanzania

Kim Jo Ngil

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
45
Reaction score
17
Babu Tale anajulikana kama meneja wa Diamond ambaye kwa sasa yuko juu kwa kasi.

Hapo kwenye shoo mtwara meneja wake anaingia nae ukumbini huku kavaa kanda mbili.

Hivi ni sawa kweli kwa meneja? TUnachukulia mambo kawaida sana.

Meneja unapaswa kuwa na standard man. kwenye ishu kama hizo ndipo unatengeneza contact sasa wewe na mindala

Imeekaaje hii wana jf?
attachment.php
 

Attachments

  • babutale.PNG
    babutale.PNG
    78.5 KB · Views: 3,088
anapenda kuhusishwa na ushirikina!...ukimuhusisha na mambo ya kishirikina kwake bonge la kick
 
Bado kuna kile kibegi ambacho inasemekana kina kimto kiduuchuu cheusi a.k.a HIRIZI!!!
 
Meneja angekuwa mzungu hata angeinpia na boxer msingeongea, wabongo bhana!
 
riziki na mambo ya shrik ni suna hata dini zimeruhusu
 
Aiseee ndoa maana hata hakupanda pale jukwaani?
Labda ni style yake ya maisha.
 
na malapa yake kamfikisha dogo level za BET, hao meneja suti je??
 
Ndo maana hamendelei kazi yenu midomo tu mwenzenu anaendelea. Big up diamond endelea kuchapa kazi hiyo ndo ajira yako.
 
Back
Top Bottom