Aibu kwa mikia: Sio uwanja wa taifa tu, hadi ugenini wanapulizia dawa

Akili za mikia fupi sana, umekubali kwamba mnapuliziaga dawa,

Yanga tunacheza mpira na wachezaji, hatuchezi mpira na waliolewa hizo dawa zenu legs lege.

VUA CHUPI KAA PEMBENI

Nyie uwezo mdogo, mnajitetea mapema unashindwa kufunga nyumbani unategemea kwenda kubahatisha ugenini mkifungwa hamchelewi kusema mmepuliziwa dawa.
 
Video hiyo hapo vyura
Your browser is not able to display this video.
 
Sikuwahi kufikiria kuwa Vyura hawana Akili kwa kiwango hichi!!!!
Yani anatokea Boya mmoja anapost Video bubu kwa ajili ya Upotoshaji basi Mivyura yote yanakurupuka kuamini bila hata ya kuhoji uhalali wa Video hiyo.

Zoeyeni kuzitoa sauti Video ili mufiche ukweli halisi wa Video hiyo na kilichokuwa kinafanyika
 
Mbona povu tena, Kanywe glasi ya maji uvue chupi ukae pembeni
 
Kwa hiyo hii Clip ndio itawasaidia kumzuia Kamusoko kule Zambia?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata tukifungwa tutacheza shirikisho (Confederations Cup)🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…