BDN
Senior Member
- Jul 10, 2015
- 191
- 150
Akili za mikia fupi sana, umekubali kwamba mnapuliziaga dawa,
Yanga tunacheza mpira na wachezaji, hatuchezi mpira na waliolewa hizo dawa zenu legs lege.
VUA CHUPI KAA PEMBENI
Nyie uwezo mdogo, mnajitetea mapema unashindwa kufunga nyumbani unategemea kwenda kubahatisha ugenini mkifungwa hamchelewi kusema mmepuliziwa dawa.