Aibu Kwa waangalizi Senetor John Kerry, Rais Thabo Mbeki na Rais John Mahama

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Hivi zile Post Election Comments walikua wamelipwa Au? Mbona Kasoro ziko wazi hata Mfuasi wa Mbowe anaweza Kuziona Kabisa pasipo hata kuambiwa na Mungu wa Chadema (Lissu)?

Waangalizi wanavyokuja waje na Timu makini Siyo Kufuatilia Vituo kadhaa tuu na Ku comment kuwa Uchaguzi ulikua Fair and Free.
 
Leo umetoa uzi wenye akili kwa kiwango fulani, hapo ndiyo tunatakiwa kuwa na katiba mpya
 
Waangalizi wa kimataifa huwa ni watu wanafiki sana!!

Kuna sehemu nimehoji iwapo wana umuhimu wowote. Nadhani ni kupoteza pesa tu hawana hata umuhimu wowote
 
Walifanya walichukua matokeo ya sehemu chache tu halafu wakatoa maoni yao
 
Huu uchaguzi umeonyesha kuwa mlimgula utakuwaga mrefu sana!
 
Jamani kwani walisema matokeo ya uchaguzi au process ya uchaguzi and not end result. Kwangu mie nafikiri bado process ilikuwa relatively fair except end result.na ndo iliyowekwa sawa na supreme court
 
Wizi umefanyika kwenye computer system ambayo wao hawakuwa na access. Hutuwezi wahukumu moja kwa moja.
 
Hivi zile Post Election Comments walikua wamelipwa Au? Mbona Kasoro ziko wazi hata Mfuasi wa Mbowe anaweza Kuziona Kabisa pasipo hata kuambiwa na Mungu wa Chadema (Lissu)?.

Waangalizi hawa Uchwara huwa ''wanaangalia'' vitu kama muda vituo vilipofunguliwa na kufungwa, kama watu wengi walipiga kura, kama mabomu yalipigwa au la, kama watu walikuwa wanalalamika vituoni au la na petty issues nyingine. Kama these are ok, then uchaguzi ni free and fair.

Mambo ya muhimu kama servers kufichwa kusikojulikana, DED kuwa ndie mwakilishi wa NEC, Mwenyekiti wa NEC ndio mtoaji wa matokeo ya mwisho na hakuna mahakama yenye madaraka ya kupinga etc etc hiyo ipo nje ya scope ya waangalizi. Infact hao jamaa hawana interest, wao huwa wanatumia nafasi hizo kuja kutalii na kuenjoy mbugani
 
Aisee ila mshindi atakua Kenyata
 
Mshindi haki ikifuatwa ni Odinga jamaa ni mtu wa haki na anastahili kuwa rais Kenya, hawa waangalizi watakuja tena kwa uchaguzi ujao hehee inapaswa wapigwe tu mawe aseee
 
dont be too hard on the election observers...they are foreign ppl and were not in a position to say that the elections were a fraud....they just wanted peace...siwalaumu mimi...ila next time wasitoe observers toka Marekni...hawa watu huwa hawapendi development ya Afrika...ata afadhali walete wachina...
 
Mkuu waangalizi wa kimataifa wanakujaga na bajeti finyuu mnoo..that's why hukoment hivyoo
Leo umetoa uzi wenye akili kwa kiwango fulani, hapo ndiyo tunatakiwa kuwa na katiba mpya


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekwambia kuna siku Raila atatangazwa ni Rais wa Kenya nani....hiyo ni mipango ilishapangwa maalum na wazungu 1)kuepusha vurugu kenya 2)kuwatengeneza kisaikolojia wananchi wa Ea jinsi demokrasi ilivyo ili waidai ktk nchi zao...mwisho wa picha hili Uhuru ndo rais maana ndo bepari kama wao na hata uchaguzi wote wataugharamia wao wenyewe wazungu...kuling'amua hili lazima uwe mtazamo wa mbali sana...hata kesi aliyopewaga uhuru ilikuwa ni program maalum na lengo maalum[emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Kulikua na Vurugu mbona Kenya Ilikua imetulia.
 

This is a well calculated move by the State to devitalize calls for secession and place NASA in an awkward position to discredit yet another sham election to be held after 60 days.

Killing two birds with one stone!
 
Pamoja na kuchapia lakini Point muhimu imeeleweka .Maccm Wa pili wewe Leo nakupa like .ccm watu wanaanza kupata fahamu nini au ndio umnatoka taratibu !!?? [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Ataa Africa walikuwapo tena ndio Wa hovyio eti wanaongozwa na marais maditector wastaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…