Aibu kwa Yanga kufukuza Kocha kisa kichapo kutoka kwa Tabora United

Aibu kwa Yanga kufukuza Kocha kisa kichapo kutoka kwa Tabora United

Tsyamatsy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2023
Posts
265
Reaction score
421
Kwa historia ya wababe hawa wawili wa mpira Tanzania yaani Simba na Yanga haijawai kutokea wala kufikirika Kwa Kocha kufukuza na wala ukosefu wa Amani klabuni iwapo Timu ikipoteza mechi na Timu ndogo Kama Tabora United.

Tumezoea songombingo iwapo mmoja kapoteza kwa pacha wake, lakini ili la Gamondi, yaani hawa Yanga kweli wenye akili ni wawili tu
 
Makubariano labda walikubariana akipoteza na yeye apotee
 
Msimu uliopita Simba ndio timu iliyoongoza kuhama viwanja na kufukuza makocha
 
Acheni maneno jamani,hamuwezi jua walipanga Nini,wakakubaliana Nini

Sema tujifunze tu kuwa hata Simba kuvunja mikataba na makocha walikuwa wanajua nini wanafanya
 
Kuna jambo nyuma ya pazia. Tuliza mtori nyama zipo chini
 
Stelingi hafi
IMG-20241115-WA0050.jpg
 
Kwahyo hadi sasa tatizo la utopolo ni nini hasa?
Ni kocha?
Wachezaji?
Uwanja wa Azam?
Au Sindano na ushirikina?
 
Back
Top Bottom