Sasa nyie endeleeni kufuata simba ya Mwaka jana,muone kama hata mtatoboa hatua ya Makundi.Msimu uliopita Simba ndio timu iliyoongoza kuhama viwanja na kufukuza makocha
Yanga Bigwa,Wehu sana hawa,Basi kocha hakua na usaidizi katika mafanikio ya Yanga.Stelingi hafiView attachment 3152893
Picha la Kihindi hii! Sterling kafa 🤣🤣Stelingi hafiView attachment 3152893
Waswahili wanasema 'usiige tembo kunya utapasuka msamba!' ya Simba waachieni wenyewe, wameshazoea ndio mapigo Yao!Msimu uliopita Simba ndio timu iliyoongoza kuhama viwanja na kufukuza makocha
Yote yanawahusuKwahyo hadi sasa tatizo la utopolo ni nini hasa?
Ni kocha?
Wachezaji?
Uwanja wa Azam?
Au Sindano na ushirikina?
Lakini hakufungwa na hizi Timu ndogo, na ndio maana tunashangazwa kipigo cha Timu ndogo kifukuze kocha?? Hii ni Yanga wametoa mpya!!Yaleyale ya robertinho alifungwa mechi moja