Aibu mashabiki wa kiba walilia nomination

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Katika hali na kuhuzunisha na kustabisha mashabiki wa kiba wameamua kulilia nomination za MTV Ema kwa kuanzisha tag zao et I nomintee kiba wakati kiba video ya chekecha haijawahi pigwa MTV pwilo Shardcole
 
Attachments

  • Screenshot_2015-09-08-23-36-35.png
    25 KB · Views: 544
  • Screenshot_2015-09-08-23-36-22.png
    25.1 KB · Views: 473
  • Screenshot_2015-09-08-23-35-31.png
    25.8 KB · Views: 466
  • Screenshot_2015-09-08-23-34-59.png
    25.9 KB · Views: 449
  • Screenshot_2015-09-08-23-30-35.png
    26 KB · Views: 457
Last edited by a moderator:
Za kawaida hizo tuzo mpaka wizkid hayupo sasa kiba kutokuwepo kuna tatizo gani
 
We kedrick ni haki yao teamkiba kufanya hivyo si ndo mtv wameelekeza sasa watag daimond wakati jina lake lipo tayari ila wizkid hapana kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
We kedrick ni haki yao teamkiba kufanya hivyo si ndo mtv wameelekeza sasa watag daimond wakati jina lake lipo tayari ila wizkid hapana kwa kweli

MTV wametoa list ya wasanii wa5 tu na wa kutagiwa ivyo ambao ni Casper, k.o, wiz kid, dj Arafat na stoneboy basi
 
Last edited by a moderator:
Za kawaida hizo tuzo mpaka wizkid hayupo sasa kiba kutokuwepo kuna tatizo gani

Et za kawaida hizi ndo big mtv awards zenywe then zinafata mtv video awards then mtv mama awards
 
Huoni hata post zao hapa.. Akili hawana.
 
Ni kweli Kiba hana mashabiki,
Ni kweli wametia aibu hao mashabiki wa Wema.So what?
Huyo Domo hapati hapo.
 
Ni kweli Kiba hana mashabiki,
Ni kweli wametia aibu hao mashabiki wa Wema.So what?
Huyo Domo hapati hapo.

Hey naona siku izi ume mshushia kibakuli toka anze kampeni za ccm
 
Safari hii wasubiri tuzo zaa MTV magufuri awards tuu yeye na ba tiffah
 
Za kawaida hizo tuzo mpaka wizkid hayupo sasa kiba kutokuwepo kuna tatizo gani

Alikiba ana strong fan base kubwa sanaaa,
Hivi kwa nini mnapoteza muda wenu kumjibu mpuuzi ambaye akilala anawaza tuu kiba ata feli lini.
Achanene naye bhana.
Ukijibizana na mjinga na nyie mtakuwa wajinga
 
Hivi kwa nini mnapoteza muda wenu kumjibu mpuuzi ambaye akilala anawaza tuu kiba ata feli lini.
Achanene naye bhana.
Ukijibizana na mjinga na nyie mtakuwa wajinga

Atafeli marangapi tena? kwani we unamyona kwenye ramani hata mtv hawamjui???? hahahahahaha

Na propaganda za kusema collable zinambeba chibu wakati hta wakina flavour, iyanya, k cee wote hawapo level aliyomo chibu, hakuna hta mmoja aliopo kwenye Mtv ema...

Tukutane Milan, Italia siku ya utoaji tuzo oyooooo
 
Middle finger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…