Aibu mashabiki wa kiba walilia nomination

Aibu mashabiki wa kiba walilia nomination

Hey naona siku izi ume mshushia kibakuli toka anze kampeni za ccm

Nimemshushia nini?
Mahaba mahabani....ila mahaba yangu juu ya Kiu ya mabadiliko ni makubwa zaidi.
 
Watajuta kumlinganisha ng'ombe na sisimizi,eti mlinzi wa tembo umlinganishe na DIAMOND si utani huo kwa lipi?????? mtu mwenye mijengo kibao ukamlinganishe na anayelelewa na mama
Et za kawaida hizi ndo big mtv awards zenywe then zinafata mtv video awards then mtv mama awards
 
Back
Top Bottom