Huu ni ujinga tu wa kumdhalilisha Mkeo!
Kila binadamu ana utashi unaompasa kutambua mema na mabaya na kukubali au kuyakataa, na siyo kwa kutafuta sympathy ya watu au dola! Je ni wangapi wanawake zao wanatongozwa na kupelekewa taarifa?? na ni wanawake wangapi wanawaambia waume/B/friends zao habari za watu waliolalanao???!
My take: mke wangu akiniletea allegation kama hiyo anakula tu talaka manake ananidhihirishia kuwa yu mdhaifu!