Aibu: Mkenya atumia rasilimali za Tanzania kutamka viko Kenya

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
3,599
Reaction score
3,226
Katika hali ambayo inashangaza na kuacha midomo wazi ni tabia ya Wakenya kutumia vivutio vilivyopo Tanzania na kuvitangaza ati viko Kenya.

Tazameni hii video, Kenya imewekwa katika nafasi ya 7 kwa amani Afrika lakini Kenya husika imejaa Tanzania tupu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wengi hawaipendi kenya yao ila hawa wa jf wanajifanya wabishi
 
These barbarians wishes they ware us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…