spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
Katika hali ambayo inashangaza na kuacha midomo wazi ni tabia ya Wakenya kutumia vivutio vilivyopo Tanzania na kuvitangaza ati viko Kenya.
Tazameni hii video, Kenya imewekwa katika nafasi ya 7 kwa amani Afrika lakini Kenya husika imejaa Tanzania tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tazameni hii video, Kenya imewekwa katika nafasi ya 7 kwa amani Afrika lakini Kenya husika imejaa Tanzania tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app