pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Make the innocent lady famous. Nakumbuka ile ya yule mbunge wa chama chenu kitakatifu, Mwigulu Nchemba na picha za SGR ya Kenya. Akiwahadaa kondoo kwamba ni ya kwao Tz. Alafu sikusikia wakenya wakilialia kuhusu 'wizi' huo. 😎